Ninaomba suala la hizi nafasi liangaliwe vizuri.
Nilishangaa nafasi zilishajaa mapema lakini waliongeza siku ili watu waombe.
Kwa sasa watu wanajitahidi kupeleka pesa ili wapate upendeleo.
Na hata ucheleweshaji wa kutoa majina ya waliopata nafasi unafanyika ili ipatikane mianya ya watu kupokea mlungula na kuingiza kwenye ajira watu kwa connection.
Kwanini msiache mifumo ifanye kazi wakati siku hizi teknolojia ni kubwa?