TAKUKURU chunguzeni wanaopanga watu ajira za afya kuna rushwa inaendelea

TAKUKURU chunguzeni wanaopanga watu ajira za afya kuna rushwa inaendelea

wanachelewesha kutoa majina, bafo wanapokea ofa na vimemo, upuuzi mtupu hii nchi, ipo siku tu we ngoja
 
Siamini ktk hongo ili nipate kazi serikalini hasa baada ya mifumo hii ya ki electronic kuanza kutumika, niliomba kazi mara moja nikaitwa kwenye usaili wangu wa kwanza huko utumishi mjini dasalamu pamoja na kua ilikua mara yangu ya kwanza kufika jijini hapo na wingi wa waombaji nilijiamini na kuamini kua nitapata na baada ya wiki moja na cku kama 3 niliipata taarifa kutoka kwa marafiki zangu kua nimepata kazi, Ahsante Mungu na ahsante familia yangu kwa maombi. Natamani cku moja nifikie level za juu ktk uongozi wa nchi ili nizuie huo upuuzi wa kuwanyima maskini haki ya kula keki ya nchi yao
 
Back
Top Bottom