Inetrview ya namna gani kuna graduates kama laki nane na zaidi wameapply utawafanyia interview ipi wote haoMifumi ipi ifanye kazi wakati hakuna kigezo chochote cha mtu kupata ajira?
Yaani hakuna interview Wala nini watu wataachaje kuuchukua rushwa?
Kwa nini hizi ajira watu wasifanyiwe interview? Wanatumia vigezo gani kuajiri hawa Tamisemi?
Acha wenge kijana hiyo ya kuongeza siku za kuomba ipo miaka yote labda ulikuwa hujazaliwa, kama umeandikiwa kupata utapata tu na kama sio basi muda wako Bado. .Ninaomba suala la hizi nafasi liangaliwe vizuri.
Nilishangaa nafasi zilishajaa mapema lakini waliongeza siku ili watu waombe.
Kwa sasa watu wanajitahidi kupeleka pesa ili wapate upendeleo.
Na hata ucheleweshaji wa kutoa majina ya waliopata nafasi unafanyika ili ipatikane mianya ya watu kupokea mlungula na kuingiza kwenye ajira watu kwa connection.
Kwanini msiache mifumo ifanye kazi wakati siku hizi teknolojia ni kubwa?
Kwa hiyo hao wanaoajiriwa wanapatokanaje kutoka kwa hao laki nane? Tulieni Sasa watu wachukue hela...Inetrview ya namna gani kuna graduates kama laki nane na zaidi wameapply utawafanyia interview ipi wote hao
Swala la hela huko mimi sipo nlikupa taarifa tu kuwa nafasi hizi waombaji ni wengi ni ngumu kuwafanyia interview..kama sifa kila mtu anazo basi kuna mahali watapishana kidogo tu bigezo vya ziada ni siri yao inavyoonekana...sijaongea kwa hisia kwamba kuna upigaji huko nimeongeq uhalisia wa ugumu wa kuwafanyia interviewKwa hiyo hao wanaoajiriwa wanapatokanaje kutoka kwa hao laki nane? Tulieni Sasa watu wachukue hela...
Kuna njia nyingi wanaweza tumia kufanyisha interview baada ya kushortlist tena nyingine Haina haja ya kumsumbua mtu kusafiri anafanya huko aliko.
Hivi idad ya walimu 2015-2021 kwa Tanzania walio nje ya ajira ya serikali wanafika 50000?Inetrview ya namna gani kuna graduates kama laki nane na zaidi wameapply utawafanyia interview ipi wote hao
Kiungozi hebu twambie ukweli. Usije ukawa waandika kwa hisia tu. Haya ni malalamiko serious.Ninaomba suala la hizi nafasi liangaliwe vizuri.
Nilishangaa nafasi zilishajaa mapema lakini waliongeza siku ili watu waombe.
Kwa sasa watu wanajitahidi kupeleka pesa ili wapate upendeleo.
Na hata ucheleweshaji wa kutoa majina ya waliopata nafasi unafanyika ili ipatikane mianya ya watu kupokea mlungula na kuingiza kwenye ajira watu kwa connection.
Kwanini msiache mifumo ifanye kazi wakati siku hizi teknolojia ni kubwa?
[emoji23][emoji23][emoji23]ata mifumo pia bado wanaicotro watu hivyo Bias hazi kosekaniNinaomba suala la hizi nafasi liangaliwe vizuri.
Nilishangaa nafasi zilishajaa mapema lakini waliongeza siku ili watu waombe.
Kwa sasa watu wanajitahidi kupeleka pesa ili wapate upendeleo.
Na hata ucheleweshaji wa kutoa majina ya waliopata nafasi unafanyika ili ipatikane mianya ya watu kupokea mlungula na kuingiza kwenye ajira watu kwa connection.
Kwanini msiache mifumo ifanye kazi wakati siku hizi teknolojia ni kubwa?
Intavyuu Bongo,INTAVYUU UNAENDA WASHAPANGA WATU WAO WA KUPITISHAMifumi ipi ifanye kazi wakati hakuna kigezo chochote cha mtu kupata ajira?
Yaani hakuna interview Wala nini watu wataachaje kuuchukua rushwa?
Kwa nini hizi ajira watu wasifanyiwe interview? Wanatumia vigezo gani kuajiri hawa Tamisemi?
2015 pekee udom walihitimu walimu elfu tatu..maanake kwa makadirio tu kuna walimu elfu 24 wa udom tuu... probably kuna walimu zaidi ya laki moja na nusu wahitimu wa vyuo vyote nchini mpaka sasa..wastani wa ajira za walimu kila mwaka ni elfu kumi tu hivyo since 2015 walimu wasiofika elfu 70 waliajriwa maana Magu sikumbuki kama alitoaga.. probably kuna mtu elfu 90 mpaka laki moja wameapply hizo mishe mpaka sasa...Hivi idad ya walimu 2015-2021 kwa Tanzania walio nje ya ajira ya serikali wanafika 50000?