TAKUKURU huu mtego wenu siuingii, iwe kwa makusudi au kwa bahati mbaya

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,489
Reaction score
5,764
Najua lengo lenu. Mnataka niseme mtoa rushwa mkubwa kisha mnifuatilie mnikamate. Nyie mnamfahamu vizuri ambaye alitoa rushwa kwa wananchi na ameendelea kutoa.

Mnafahamu wananchi wanapewa mpaka boflo na maji, wanapewa bike,tshirts,kofia, khanga,vitenge na pesa. Mnajua sana. Ila mnataka mimi nitaje kisha mje kuniteka. HUO MTEGO SIUINGII IWE KWA BAHATI MBAYA AU KWA MAKUSUDI.

Na mshindwe, mlegee kabisa. Na nimewablock msinitumie msg zenu za kichokozi kunishawishi. Hamnipati kihivyo. Mi mjanja msidhani mi fala.
Screenshot_2025-09-23-19-03-22-351_com.google.android.apps.messaging.jpg
 
Najua lengo lenu. Mnataka niseme mtoa rushwa mkubwa kisha mnifuatilie mnikamate. Nyie mnamfahamu vizuri ambaye alitoa rushwa kwa wananchi na ameendelea kutoa.

Mnafahamu wananchi wanapewa mpaka boflo na maji, wanapewa bike,tshirts,kofia, khanga,vitenge na pesa. Mnajua sana. Ila mnataka mimi nitaje kisha mje kuniteka. HUO MTEGO SIUINGII IWE KWA BAHATI MBAYA AU KWA MAKUSUDI.

Na mshindwe, mlegee kabisa. Na nimewablock msinitumie msg zenu za kichokozi kunishawishi. Hamnipati kihivyo. Mi mjanja msidhani mi fala.
View attachment 3477926

Ha ha ha ha...jichanganye utoe taarifa wakuibukie ghetto kwako
 
Hii nchi wasitegemee taarifa za wasamalia wema.

Labda tu itokee bahati kama inavyotokeaga, watu kurekodi matukio then yanatrend yenyewe mwisho wa siku yanafatiliwa bila alierekodi kujulikana.

Ila kujipeleka mwenyewe hakyanani hawakuachi salama.
 
Back
Top Bottom