TAKUKURU: Jeshi la Polisi ni kinara wa Rushwa nchini

Rushwa za bara barani zimegeuka sehemu ya mfumo wa malipo. Asubuhi mfano takribani kila dereva/konda wa dala dala Arusha anatoa au kushawishiwa kutoa rushwa na hao wasimamizi wa sheria barabarani.

Na huu umekuwa ni utaratibu wa kila uchwao.
 
Kuna nchi iliwahi kususpend jeshi la polisi ikalifumua jeshi.

Uhalifu ulipungua kipindi hicho kuliko muda Wana jeshi lao, kabla haujatamani tufanye hivyo Nigeria kutotawalika na kua na rate kubwa ya uhalifu mpaka leo ni kwakua kuna kipindi hilo jeshi halikuwahi kuwa effective sawasawa na kutokuepo.
 
Takukulu na wao ni Wala rushwa wakubwa ndo maana kesi nyingi kubwa wafaidika hawachukuliwi sheria, uchunguzi unaweza chukua miaka nenda rudi.
 
Mada inahusu polisi wewe unawaingiza chadema

Ova
nadhani msingi wa maudhui ya hoja ni Rushwa, ambayo imekita mizizi na kushamiri chadema, nadhani ni muhimu sana TAKUKURU kumulika huko kulikoni jamaa anabweka bweka nje ya reli πŸ’
 
Takukulu na wao ni Wala rushwa wakubwa ndo maana kesi nyingi kubwa wafaidika hawachukuliwi sheria, uchunguzi unaweza chukua miaka nenda rudi.
Ilibidi wao wajiweke pia
 
nadhani msingi wa maudhui ya hoja ni Rushwa, ambayo imekita mizizi na kushamiri chadema, nadhani ni muhimu sana TAKUKURU kumulika huko kulikoni jamaa anabweka bweka nje ya reli πŸ’
Kwa huko pilosi hakuna rushwa

Ova
 
nadhani msingi wa maudhui ya hoja ni Rushwa, ambayo imekita mizizi na kushamiri chadema, nadhani ni muhimu sana TAKUKURU kumulika huko kulikoni jamaa anabweka bweka nje ya reli πŸ’
 
hii makamu mwenyekiti huenda hajaiona maana anabweka bweka hatari,

lakini pia huenda ni Rushwa mpya zinatembea πŸ’
 
Tunaomba huo utafiti tuwekee hapa au tuwekee link tuupakuwe.

Hii habari kama nibya kweli IGP na waziri wa mambo ya wajiwabishe wenyewe kwa kustaafu nyadhifa zao, ili yafunguliwe mashitaka kwa wahusika wote.
 
Linanuka uvundo mkali wa RUSHWA!
Hata kwenda kuwakamata viongozi na wanachama wa CDM kwa maelekezo kutoka ccm ni RUSHWA pia!
 
Tunaomba huo utafiti tuwekee hapa au tuwekee link tuupakuwe.

Hii habari kama nibya kweli IGP na waziri wa mambo ya wajiwabishe wenyewe kwa kustaafu nyadhifa zao, ili yafunguliwe mashitaka kwa wahusika wote.
Kama unataka details za utafiti nenda ofisi za Takukuru sisi ni wahabarishaji tuu.

Hili ni genge la majambazi lililopewa kibali na watawala cha kufanya ujambazi. Ndiyo maana haya ni majambazi hatari zaidi kuliko majambazi ya mtaani. Majambazi haya yanaua, yanateka, yanapora, yanatesa, na yanafanya uovu wa kila aina. Ni aheri hata nchi ingewaajiri sungusungu wawe walinzi wa amani, wana uadilifu kuliko haya majitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…