TAKUKURU kamateni Trafiki Wala rushwa

TAKUKURU kamateni Trafiki Wala rushwa

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Toka taasisi hii imeanzishwa sijawahi kusikia wamekamata Trafiki akichukua rushwa. Wakati Hawa jamaa wamejiwekea malengo Kwa siku kukusanya kiwango kadhaa. Mtego wao Ni rahisi Sana. Chukuen hatua
 
Toka taasisi hii imeanzishwa sijawahi kusikia wamekamata Trafiki akichukua rushwa. Wakati Hawa jamaa wamejiwekea malengo Kwa siku kukusanya kiwango kadhaa. Mtego wao Ni rahisi Sana. Chukuen hatua
Hawawezi kuwakamata maana boss wao nnaye alikuwa mla rushwa kule Kule Jeshi la Polisi. Kazi yao ni kufuatilia Taasisi zingine tu siyo Jeahi la Polisi
 
Toka taasisi hii imeanzishwa sijawahi kusikia wamekamata Trafiki akichukua rushwa. Wakati Hawa jamaa wamejiwekea malengo Kwa siku kukusanya kiwango kadhaa. Mtego wao Ni rahisi Sana. Chukuen hatua
Wale waliyotajwa na CAG vp mshawakamata

Ova
 
Barabara ya Kisarawe kwenda Chole, wanatoza 3000 kila gari, pale Kisarawe kwenye kibanda chao nyuma ya Hospitali na 3000 pale Masaki baada ya kituo cha mafuta. Hawajifichi tena, ni bayana
Waacheni nao wajiongeze
Mbona wale wa report Ya CAG Hawajawagusa

Ova
 
Toka taasisi hii imeanzishwaKiLA sijawahi kusikia wamekamata Trafiki akichukua rushwa. Wakati Hawa jamaa wamejiwekea malengo Kwa siku kukusanya kiwango kadhaa. Mtego wao Ni rahisi Sana. Chukuen hatua
Kila trafiki aliyeko barabarani ana kazini moja tu ya kupokea rushwa. Sasa ni kama imehalalishwa maana kila wakisimamisha daladala konda humwendea na hela mkononi, akishamkabidhi, safari huendelea mpaka akutane na mwingine.

Kati ya taasisi zilizotakiwa kufutwa ni takukuru, BASATA, bunge na TANESCO
 
Barabara ya Kisarawe kwenda Chole, wanatoza 3000 kila gari, pale Kisarawe kwenye kibanda chao nyuma ya Hospitali na 3000 pale Masaki baada ya kituo cha mafuta. Hawajifichi tena, ni bayana
Tutajie majina yako matatu, tukuandalie CHETI CHA PONGEZI
 
Back
Top Bottom