M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Tukatae rushwaNani anayewakamata hao TAKUKURU pindi wao walapo RUSHWA?
Mimi nimependa huu UJUMBE wako !.Nani anayewakamata hao TAKUKURU pindi wao walapo RUSHWA?
Tangu lini takukuru wakafanya kazi bila kuagizwa na DC, RC, waziri, waziri mkuu au rais. Takukutu wao mpaka waagizwe bila hivyo hawajui la kufanya.1. Kwanini TAKUKURU wanawachekea Trafiki wala rushwa barabarani? Mbona kuwakamata ni kazi rahisi sana?
2. Ambush ya mwezi mmoja (kuwakamata, kuwaonyesha hadharani na kuwapeleka mahakamani) ingebadilisha upepo kabisa
Kuna halmashauri niliwahi kuona jamaa wa idara ya afya kapiga hela ndefu kichizi, TAKUKURU wakaanza kunusanusa baada ya kupelekwa taarifa, jamaa akaona hapa anapotezwa. Akaishia kuwahi kutongoza na kutangaza ndoa ya fastet kwa mmoja wa maofisa wa TAKUKURU1. Kwanini TAKUKURU wanawachekea Trafiki wala rushwa barabarani? Mbona kuwakamata ni kazi rahisi sana?
2. Ambush ya mwezi mmoja (kuwakamata, kuwaonyesha hadharani na kuwapeleka mahakamani) ingebadilisha upepo kabisa
njoo na ushahidi ofisi yoyote ya takukuru iliyopo karibu nawe na tuone namna tunaweza kuchukua hatua muhimu za kukudhibiti uhalifu huo 🐒1. Kwanini TAKUKURU wanawachekea Trafiki wala rushwa barabarani? Mbona kuwakamata ni kazi rahisi sana?
2. Ambush ya mwezi mmoja (kuwakamata, kuwaonyesha hadharani na kuwapeleka mahakamani) ingebadilisha upepo kabisa
wanyimwe uwezo wa kupiga fainizifungwe kamera au wasiwepo kabisa....Watakao teseka na hiyo operesheni ni madereva, watapigwa cheti Hadi wabroo wenyewe. Trafiki haombi rushwa anashawishiwa na madereva apokee hizo buku buku.
Kuanzia sasa wananchi wenye magari na bajaji mnaowapa trafiki pesa kuanzia 1000, 200, 5,000, 10,000 nk vaeni kamera ziwanase kisha tafuteni IT mwenye akili ya kitaaluma kuzirusha hewani bila kujulikana chanzo1. Kwanini TAKUKURU wanawachekea Trafiki wala rushwa barabarani? Mbona kuwakamata ni kazi rahisi sana?
2. Ambush ya mwezi mmoja (kuwakamata, kuwaonyesha hadharani na kuwapeleka mahakamani) ingebadilisha upepo kabisa
Unataka magari yetu mabovu yasitembee road1. Kwanini TAKUKURU wanawachekea Trafiki wala rushwa barabarani? Mbona kuwakamata ni kazi rahisi sana?
2. Ambush ya mwezi mmoja (kuwakamata, kuwaonyesha hadharani na kuwapeleka mahakamani) ingebadilisha upepo kabisa
1. Kwanini TAKUKURU wanawachekea Trafiki wala rushwa barabarani? Mbona kuwakamata ni kazi rahisi sana?
2. Ambush ya mwezi mmoja (kuwakamata, kuwaonyesha hadharani na kuwapeleka mahakamani) ingebadilisha upepo kabisa
NakaziaTukatae rushwa
Safi sanaNakazia
Nliambiwa na mmoja wa mapolice cku fulan kuwa takukuru Hana mamlaka ya kumkamata police akiwa kazn na haiwez kutokea ndio maana hatujawah kuskia kes y traffic kukamatwa na takukuru,Tangu lini takukuru wakafanya kazi bila kuagizwa na DC, RC, waziri, waziri mkuu au rais. Takukutu wao mpaka waagizwe bila hivyo hawajui la kufanya.
Hao TAKUKURU wanapiga Dana Dana tu. Kwa kifupi ni tabaka la juu la kupatia rushwa.Nani anayewakamata hao TAKUKURU pindi wao walapo RUSHWA?