TAKUKURU kamateni trafiki wala rushwa

TAKUKURU kamateni trafiki wala rushwa

Nliambiwa na mmoja wa mapolice cku fulan kuwa takukuru Hana mamlaka ya kumkamata police akiwa kazn na haiwez kutokea ndio maana hatujawah kuskia kes y traffic kukamatwa na takukuru,
Huna Unachokijua Kuhusu Hii Tanzania Pia Unaonekana Wewe Ni Wa Juzi
Wamekamatwa Wengi Wakiwa Na Uniform Na Kupandishwa Mahakamani Chap Wakapoteza Kazi
SOMA Privention And Combating Act Section 15
 
1. Kwanini TAKUKURU wanawachekea Trafiki wala rushwa barabarani? Mbona kuwakamata ni kazi rahisi sana?

2. Ambush ya mwezi mmoja (kuwakamata, kuwaonyesha hadharani na kuwapeleka mahakamani) ingebadilisha upepo kabisa
Ushahidi hapo uko wazi!!

Mitano Tena Kwa Saa100

Attachments

  • 5929282-43d7e58f930fba84b8de7085be6f9086.mp4
    19.9 MB
1. Kwanini TAKUKURU wanawachekea Trafiki wala rushwa barabarani? Mbona kuwakamata ni kazi rahisi sana?

2. Ambush ya mwezi mmoja (kuwakamata, kuwaonyesha hadharani na kuwapeleka mahakamani) ingebadilisha upepo kabisa
Ushahidi hapo uko wazi!!

Mitano Tena Kwa Saa100
1. Kwanini TAKUKURU wanawachekea Trafiki wala rushwa barabarani? Mbona kuwakamata ni kazi rahisi sana?

2. Ambush ya mwezi mmoja (kuwakamata, kuwaonyesha hadharani na kuwapeleka mahakamani) ingebadilisha upepo kabisa
 
Ushahidi hapo uko wazi!!

Mitano Tena Kwa Saa100
Maajabu na kweli
1736936875403.png
1736936969369.png

1736937068368.png
1736937178784.png

Kwani hapo wanafanya nini hao kondakta na askari? Tangu lini kuna utamaduni wa kondakta anashuka na kwenda kutoa salamu kwa asakari kwa kushikana mkono kisha anondoka na sababu ya kusimamishwa haikuzungumzwa na ikaishaje?
 
Watakao teseka na hiyo operesheni ni madereva, watapigwa cheti Hadi wabroo wenyewe. Trafiki haombi rushwa anashawishiwa na madereva apokee hizo buku buku.
Wewe kumbe unaelewa, traffick akipewa chochote kitu inasaidia kuokoa muda na watu wanaendelea kukuza uchumi na shughuli za ujenzi wa taifa zinaendelea.

Sio kila gari litakuwa kwenye mazingira mazuri kama magari ya mawaziri, hivyo traffick akikupa fair na wewe unampa fair

Traffick ni wachumi wazuri sana wanaangalia ile opportunity cost, akikuzuia kwa faini iliyobet anakupotezea muda wa kujenga taifa na kuingiza mapato ila akikupa fair kwa makosa ambayo gari haina record za kuleta shida Kama ajali basi anakuokolea muda wa kufanya kazi na kuingiza kipato

Huu ndio uzalendo wa kweli, hii ndiyo maana ya kulipenda taifa lako.
 
Nimefukuzwa kazi kwa sababu ya elfu mbili nineambiwa nilipe elfu mbili ili aongee na muajiri wangu niendelee kufanya kazi takukuru namba zenu hazipatikani
 
Kuanzia sasa wananchi wenye magari na bajaji mnaowapa trafiki pesa kuanzia 1000, 200, 5,000, 10,000 nk vaeni kamera ziwanase kisha tafuteni IT mwenye akili ya kitaaluma kuzirusha hewani bila kujulikana chanzo
1.Trafiki -uozo mwingi
2. TRA---uozo mwingi
3.Polisi wapelelezi-uozo mwingi
Poa
 
Back
Top Bottom