Huna Unachokijua Kuhusu Hii Tanzania Pia Unaonekana Wewe Ni Wa JuziNliambiwa na mmoja wa mapolice cku fulan kuwa takukuru Hana mamlaka ya kumkamata police akiwa kazn na haiwez kutokea ndio maana hatujawah kuskia kes y traffic kukamatwa na takukuru,
Ushahidi hapo uko wazi!!1. Kwanini TAKUKURU wanawachekea Trafiki wala rushwa barabarani? Mbona kuwakamata ni kazi rahisi sana?
2. Ambush ya mwezi mmoja (kuwakamata, kuwaonyesha hadharani na kuwapeleka mahakamani) ingebadilisha upepo kabisa
1. Kwanini TAKUKURU wanawachekea Trafiki wala rushwa barabarani? Mbona kuwakamata ni kazi rahisi sana?

Maajabu na kweliUshahidi hapo uko wazi!!
Mitano Tena Kwa Saa100
na huwa wanakula sana!Nani anayewakamata hao TAKUKURU pindi wao walapo RUSHWA?
Wa HakiNani anayewakamata hao TAKUKURU pindi wao walapo RUSHWA?
Wenzio wanabunya Apartments DubaiRushwa Ni Adui Wa
Wa Haki
🤣😂🤣Wenzio wanabunya Apartments Dubai
HaATrafiki wanaendesha gari kali ajabu
2,000 NI tofaliKwenye daladala tunaona wanavyopokea bila wasiwasi. Hata buku 2 zinachukuliwa.
Wewe kumbe unaelewa, traffick akipewa chochote kitu inasaidia kuokoa muda na watu wanaendelea kukuza uchumi na shughuli za ujenzi wa taifa zinaendelea.Watakao teseka na hiyo operesheni ni madereva, watapigwa cheti Hadi wabroo wenyewe. Trafiki haombi rushwa anashawishiwa na madereva apokee hizo buku buku.
PoaKuanzia sasa wananchi wenye magari na bajaji mnaowapa trafiki pesa kuanzia 1000, 200, 5,000, 10,000 nk vaeni kamera ziwanase kisha tafuteni IT mwenye akili ya kitaaluma kuzirusha hewani bila kujulikana chanzo
1.Trafiki -uozo mwingi
2. TRA---uozo mwingi
3.Polisi wapelelezi-uozo mwingi