Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro Frida Wikes, amesema kuwa uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazo muhusu aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya unaendelea vizuri katika Mkoa wa Kilimanjaro.
"Kesi za mshitakiwa huyu (Sabaya) zimekuwa zikienda mfululizo hivyo kesi nyingine zimesubiri kwa sababu huwezi kumpata,ule ni Mkoa mwingine na huu ni mwingine, tutatoa taarifa wakati wake ukifika.
Na polisi kilimanjaro nao wanamsubiria kwa hamu ili ashitakiwe kwa kosa la kumpiga askari wao na kumsababishia maumivu makali,hii ni kwa mujibu wa RPC Simon Maigwamhahaha Mwaka wa Lengai Ole sabaya