TAKUKURU Kinondoni hivi mko seriazi? Mpaka Leo hamjamkata Alex Msama?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
TAKUKURU mmepigwa chenga na Alex Msama mpaka Leo na lile kengeza lake kweli?
==========
Naibu Mkuu wa TAKUKURU (M) Kinondoni Elizabeth Mokiwa kupitia kwa Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam , Alhamisi Januari 22.2026 alitangaza kuwatafuta washtakiwa Alex Msama Mwita na Benny Mwita Sammoh wanaokabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi ikiwemo kuongoza genge la uhalifu, kughushi, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu pamoja na utakatishaji fedha kupitia shauri la uhujumu uchumi Na. 1371/2026

Soma Pia: TAKUKURU: Tunamtafuta Alex Msama ana mashtaka ya uhujumu uchumi na kuongoza genge la uhalifu. Atakayempata kuna zawadi nono
 
Hahahaha mkuu bongo ni zaidi ya ujiuavyo, ndo mana baadhi ya vijana wanasema ni channel ya comedy kule firdausini🙂🙂🙂
 
Back
Top Bottom