TAKUKURU kuweni macho katika mchezo wa Yanga na Simba, hujuma nyingi sana

TAKUKURU kuweni macho katika mchezo wa Yanga na Simba, hujuma nyingi sana

samakinchanga

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Posts
2,024
Reaction score
1,233
Hizi ndio mechi mchezaji anapewa fungu ili auze au apoteze ushindi kwa makusudi. TAKUKURU zuieni hilo mapema.

Zipo fitina kibao kama mchezaji kulazimisha kupewa red card ilimradi timu yake ielemewe,au kujifunga n.k

Ni angalizo la mapema
 
Takwimu zinaongea
Picsart_22-05-28_17-55-37-921.jpg
 
Back
Top Bottom