samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Hizi ndio mechi mchezaji anapewa fungu ili auze au apoteze ushindi kwa makusudi. TAKUKURU zuieni hilo mapema.
Zipo fitina kibao kama mchezaji kulazimisha kupewa red card ilimradi timu yake ielemewe,au kujifunga n.k
Ni angalizo la mapema
Zipo fitina kibao kama mchezaji kulazimisha kupewa red card ilimradi timu yake ielemewe,au kujifunga n.k
Ni angalizo la mapema