TAKUKURU: Kwenye TFF kuna hela zimetumika vibaya

Tusubiri uchunguzi ukamilike,

Ivi uchunguzi wa Kangi Lugola uliishia wapi?
 
Ni ngumu sana kuwamaliza "mchwa" wote nchini kwa kumtegemea mtu mmoja tu. Siku huyo mtu akijiwa na wazo la kutengeneza mfumo imara, mambo mengi yatatengemaa.
 
Msomali kasema pesa haijaingia kwenye account ya TFF ...na pia ile michuano ya U17 ambayo hiyo B ilitakiwa itumike imeacha madeni mpaka le TFF wanadaiwa....

Hii issue ni ngumu...

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wezi wapo kila sehemu. Serikalini na TFF.

Walioiba wakati wa Jakaya wamenyoshwa. Wanaoiba awamu hii watakuja kunyoshwa na awamu ya sita.

Za sasa ni kelele za kutafuta ujiko. Toka lini serikali ikasema warudishe pesa yaishe?

Tumeyaona vyama vya ushirika.
 
Kuna mtu anadanganya hapa
Either TFF,Wizara au Mlipaji ila swali rahisi sana kwa nini wote wasichunguzwe kujua ukweli.Waitwe wote wahojiwe na mahesabu yakaguliwe tujue.Ila naona kuna kufichiana sana siri miongoni mwa wapigaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kalio kasema Pesa haikuingia kwenye account ya tff means ipo wizarani, hii zamu ya Mwakyembe
 
karma is a bitch..mwisho wa Karia umefika hakuna aliyekumbwa na kashfa ya ubadhirifu TFF akabaki salama..poleni mikia muda wenu wa magoli ya offside kuwa halali umefika..huyo brigedia Mbungo atakuwa mwananchi
 
Sisi hatubwebi hata aingie Rais gani tutachukua ubingwa back to back
karma is a bitch..mwisho wa Karia umefika hakuna aliyekumbwa na kashfa ya ubadhirifu TFF akabaki salama..poleni mikia muda wenu wa magoli ya offside kuwa halali umefika..huyo brigedia Mbungo atakuwa mwananchi

MONEY STOP NONSENSE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…