Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
Misifa tu hakuna jipya !! Hela haikufika !!! Labda kama walimpa Mwakyembe sio TFFNenda ukamuambie hivyo Kamanda wa TAKUKURU maana ndiye aliye tuhabarisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misifa tu hakuna jipya !! Hela haikufika !!! Labda kama walimpa Mwakyembe sio TFFNenda ukamuambie hivyo Kamanda wa TAKUKURU maana ndiye aliye tuhabarisha
Hivyo vyama vingine vya michezo vina hela gani,ushawahi kusikia hela zimeliwa TLP au UDP?Huwa najiuliza mbona sijawahi kusikia Viongozi wa vyama vingine vya michezo wakituhumiwa ulaji pesa? Je ni wasafi Sana? Kwanini mpira wa miguu tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
@Lombardi nakuhahskikishia kama na wewe uko TFF basi mtazitema tuMisifa tu hakuna jipya !! Hela haikufika !!! Labda kama walimpa Mwakyembe sio TFF
Kumbe TFF ni kisima cha pesa, ruksa kujichotea mradi tu uwe na cheo cha uongozi.Zile fedha za TFF kutoka FIFA ni nyingi, hata ningekuwa Mimi ningezitafuna tu
Huko kwingine hamna hela wala wadhamini wa kueleweka ndio maana wanalia ukata ila hapo TFF pesa ipo.Huwa najiuliza mbona sijawahi kusikia Viongozi wa vyama vingine vya michezo wakituhumiwa ulaji pesa? Je ni wasafi Sana? Kwanini mpira wa miguu tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Fedha siyo suala la mpira wa miguu (Football) bali ni wizi kama wizi mwingine. Kwa kuwa TFF wamekanusha kuwa fedha za serikali hazikuingia kwenye akaunti yao basi TAKUKURU wafuatilie kwa Doto wa hazina, huenda zilipigwa juu kwa juu au ni ahadi hewa ya kujitafutia umaarufu wa kisiasa.Hope hao TAKUKURU wanajua masuala ya football huwa hayapelekwi mahakama za kawaida, ndio maana wanawaambia direct warudishe hizo fedha.
Wakijichanganya tutafungiwa na wenye mpira wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi jana kashinda nyumbani kwa Naibu Rais Daud Bashite akimlilia amwambie mtukufu magufuli amlinde awambie Takukuru wapige kimya waseme wamechunguza wakakuta aliyeiba pesa kakimbia Nchi au kafa.nilimuonya karia kitambo sana !
Zanzibar-ASP umeuliza swali la msingi kabisa. Na hapo ndipo kuna giza au UKAKASIKama Pesa zile zilitolewa na serikali ili kutumika katika maandalizi ya mashindano yaliyokuwa yanaratibiwa na TFF, na TFF hawakuzipokea, kwanini TFF walikuwa kimya muda wote huo?
Kwanini hawakuhoji ziliko hizo pesa?
Ukiua kwa upanga lazima ufe kwa upanga. DaadadadekiiiiiWallace Karia alitumia hila mbaya sana kupata kuwa Rais wa TF. Alitumia nguvu za Serikali kupitia Mkurugenzi wa Mchezo ambaye ni Katibu wa BMT kuhakikisha kuwa wakati wa uchaguzi wa TFF May 2017, Jamal Malinzi anakuwa rumande kwa mashtaka yasiyo na dhamana. Kweli Jamal Malinzi alikamatwa akudunguliwa mashtaka ya kutakatisha fedha (AML).
Kwenye uchaguzi Karia akapita dhidi ya ushindani hafifu. Pia na Michael Wambura naye anashinda kama Makamu wake. Baada ya miezi 6 Karia akamuengua Wambura aliyechaguliwa kihalali kama Makamu wa Rais wa TFF. Hatimaye naye Wambura akaanza kutafuta haki yake kwa kupitia mifumo ya ndani ya TFF na BMT lakini akashindwa. Wambura anaamua kwenda Mahakamani ambako suala lilikuwa lina dalili zote kuwa angeshinda.
Karia alamuwahi kwa kumpeleka TAKUKURU na kifunguliwa mashtaka ya kutakatisha fedha pia. Kiufupi wote Wambura na Malinzi wako huru kwa namna tofauti ila ukweli ni kwamba Wllace KARIA aliwabambikizia zile kashfa ili apate ile nafasi aje kufanya UFISADI bila kudhibitiwa.
Ngoja tusubiri nini kitajiri kutoka TAKUKURU
Karia na kidau wameagiza kamati za ufundi toka Somalia Sudan kusini pia na wamemuomba Le mutuz awasaidie ile kamati ya ufundi ya Daud Bashite na cyprian Musiba iweze kuwasaidia Takukuru wasione kitu.Hope hao TAKUKURU wanajua masuala ya football huwa hayapelekwi mahakama za kawaida, ndio maana wanawaambia direct warudishe hizo fedha.
Wakijichanganya tutafungiwa na wenye mpira wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vitisho hutolewa chini kwa chini na wafuasi wa serikali wenye nidhamu ya woga ambao wanaweza kuzuia kuihoji serikali!Kama Pesa zile zilitolewa na serikali ili kutumika katika maandalizi ya mashindano yaliyokuwa yanaratibiwa na TFF, na TFF hawakuzipokea, kwanini TFF walikuwa kimya muda wote huo?
Kwanini hawakuhoji ziliko hizo pesa?
Daud Bashite anajipanga kumlinda karia kwa gharama zote mbinu zoteUkiua kwa upanga lazima ufe kwa upanga. Daadadadekiiiii
KARIA ni mtu wa system, wanajua aliyekula hela , hazijaliwa TFF, makada wamepiga na itaisha mama msabilioni ya kikwete yalipigwa na watu kwa sasa wanajiita MATAGATaasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa imesema shirikisho la mpira(TFF ) kuna hela zimetumika vibaya,baadhi ya watuhumiwa wameitwa kuhojiwa na nyaraka mbalimbali zimechukuliwa .
TAKUKURU imesema watu hao wana hiari ya kurudisha hela au kusubiri uchunguzi ukamilike.
Mkurugenzi wa TAKUKURU Brigadia John Mbungo amesema Kwenye shirikisho la Mpira nchini TFF Kuna Fedha zimetumika vibaya amesema baadhi ya wameitwa na kuhojiwa na nyaraka mbalimbali zimechukuliwa
> Amesema kuwa watu hao wana hiari ya kurejesha fedha ama kusubiri uchunguzi ukamilike
>. Amesema kuwa miongoni mwa fedha hizo ni zile zilizo tolewa na Rais John Magufuli
TFF wajibu > Baada ya TAKUKURU kusema itawahoji TFF kuhusu Bilioni 1 ya AFCON ya vijana iliyotolewa na Rais Magufuli, TFF yasema haijawahi kupokea fedha hizo
NB: Kuna nini TFF kwanini kila awamu inayoingia lazima ipige hela .
KARIA ni mtu wa system, wanajua aliyekula hela , hazijaliwa TFF, makada wamepiga na itaisha mama msabilioni ya kikwete yalipigwa na watu kwa sasa wanajiita MATAGA
Umesema vyema sana, assuming ametoa hiyo hela, mlipaji mkuu ni HAZINA kupitia mpwa wake bwana DOTTO, sasa mpwa wa MAGUFULI Ndiye aseme aliweka akaunti ipi?Ila kuna uhakika wowote kama Rais alitoa hiyo hela ?isije ikawa changa la macho,kama alitoa alimpa nani wakati TFF wamesema haikuingizwa kwenye account yao
Hapo Bashite lazima amtoe mkwanja alionao mpaka afirisike. Hiyo ndiyo kawaida ya BashiteJuzi jana kashinda nyumbani kwa Naibu Rais Daud Bashite akimlilia amwambie mtukufu magufuli amlinde awambie Takukuru wapige kimya waseme wamechunguza wakakuta aliyeiba pesa kakimbia Nchi au kafa.