Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Msomali na kukuza soka wapi na wapi bana, hao kazi yao ni magendo na upigaji tu saasa uyo mmemuweka kuwa raisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan umeambiwa Karia yumo?Wallace Karia alitumia mbinu chafu kupata uenyekiti wa TFF mwaka 2017 kwa kumhusisha mpinzani wake Malinzi na kesi ya kutakatisha fedha. Akamtema na Makamu aliyechaguliwa kikatiba Michael Wambura naye kwa kesi ya kutakatisha fedha. Je KARIA atachomoka kwenye sakata hili?
Pesa haitoki bila ruhusa ya accounting officer.Kwan umeambiwa Karia yumo?
Halafu hiyo pesa wala haikiingia Tff
Ni Nani anaidhinisha fedha TFF...Mwenyekiti (Rais),? Makamu? Katibu Mkuu? Mhasibu? Mjumbe?Kwan umeambiwa Karia yumo?
Halafu hiyo pesa wala haikiingia TFF
Mhhhh hapo sasa mlipokea vizuri tu leo mnadai hakuingia kwenye akaunt ya TFF sasa ilingia wapi mtuambie nyie TFFSasa TAKUKURU wanaihusisha vipi TFF kama haikuingia kwenye hesabu zao.?
Wasianze kuuyumbisha mpira wetu.
Sie tunasubiria ligi ianze.
Sasa tumuulize Mzee wa Chato ziliwekwa account ipi?. Au alitoa ahadi hewa? Otherwise ni kumtukana RaHawa TAKUKURU wanaposema kuna fedha zimetumika vibaya mbona tayari wameshajigeuza mahakama?
Na kama wameshajua hilo wanafanya uchunguzi wa nini?
Wasijekuwa wanalazimisha makosa kwa wengine ili walipwe pesa kama wanavyofanya kwa watuhumiwa wa uhujumu uchumi, pale wanapowalazimisha kukiri makosa na kulipa pesa ambazo mahakama haijawahi kuwakuta na hatia za kuiba hizo fedha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namnukuu Brigardier General John Mbungo;Hela watu wameenda kujifukizia Kijijini kwao
View attachment 1451202
Hawa TAKUKURU wanaposema kuna fedha zimetumika vibaya na wazirudishe kama wamechukua mbona tayari wameshajigeuza mahakama?
Na kama wameshajua hilo wanafanya uchunguzi wa nini?
Wasijekuwa wanalazimisha makosa kwa wengine ili walipwe pesa kama wanavyofanya kwa watuhumiwa wa uhujumu uchumi, pale wanapowalazimisha kukiri makosa na kulipa pesa ambazo mahakama haijawahi kuwakuta na hatia za kuiba hizo fedha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una maana mchimba kaburi ni magu kupitia takukurupuka😀Mchimba kaburi hapa ni TAKUKURU. Hela haikuingia TFF.
Hizi hela zimeliwa na zile kamati zao za ushindiWanadai hizi ni zile hela Bilioni Moja Serikali iliyotoa kwa ajili ya maandalizi ya ile michuano ya Vijana iliyofanyika Mwaka jana hapa Nchini.
Sent using Jamii Forums mobile app