Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Lindi imeendesha kikao kazi kujadili na kuweka mikakati dhidi ya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu mwezi Oktoba.
Kikao hiko kimefanyika leo Septemba 11,2025 katika ukumbi wa CWT na kuwakutanisha viongozi wa dini na wazee wa Wilaya ya Lindi.
Naibu Mkuu TAKUKURU Mkoa wa Lindi, Emma Mwasyoge, ambaye ni mgeni rasmi kwenye kikao hiko amesema vitendo vya rushwa vinaondoa haki ya kuchagua au kuchaguliwa na kuharibu mchakato na matokeo ya uchaguzi.