Mwanantogakulya
Senior Member
- Mar 18, 2025
- 157
- 155
Kumekuwepo na tuhuma zinazomhusisha mtumishi wa umma katika taasisi TAKUKURU na mwenendo unaodaiwa kukiuka maadili ya utumishi wa umma.
Ni muhimu mamlaka husika kufanya uchunguzi wa kina ili kubaini ukweli wa tuhuma hizo na kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma.Tuhuma ambazo zinamkabiri ni kujihusisha na vitendo vya ushoga.