TAKUKURU mjikite kwenye Chama cha Walimu (CWT) wilaya, mikoa na Taifa

TAKUKURU mjikite kwenye Chama cha Walimu (CWT) wilaya, mikoa na Taifa

Retina

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
1,039
Reaction score
1,163
Kuna chama kinaitwa Chama Cha Walimu ni ugonjwa sugu unaotafuna walimu ambao wengi wao wamejikatia tamaa.

TAKUKURU kama kuna uchunguzi wa kina unatakiwa ufanyike ni katika Chama hiki cha walimu.Kuna biashara zinafanyika ambazo kama Takukuru wataingia, kuna kitu watashangaa.

TAKUKURU chunguzeni CWT.
 
Back
Top Bottom