TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mko wapi kwenye hii kashfa ya Sukari? mmeshamsikia Waziri Bashe, Mmeshamsikia Mpina, mmeshamsikia Tulia, mmeshaisikia Kamati ya Bunge, mmeshawasilikia wazalishaji na mmeshamsikiliza mkurugenzi wa Bodi ya Sukari na maoni mbalimbali ya watanzania kuhusu sukari.
Swali langu kwa TAKUKURU hadi sasa bado hamjaona mteja wenu hata mmoja angalau wa kumfikisha Mahakamani?
Swali langu kwa TAKUKURU hadi sasa bado hamjaona mteja wenu hata mmoja angalau wa kumfikisha Mahakamani?