ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Watumishi wa Umma Huwa wanaonewa sana na Wanasiasa, Kwa kutumia Hawa TAKUKURU.
Majizi ya Nchi hii ni Wanasiasa na watu wenye vyeo vikubwa lakini sijawahi sikia hao wanaojiita TAKuKURU kuwashughulikia ila viposho vidogo vidogo hivyo vya Watumishi kujikimu ndio mnaona ni kazi sana.
Tukisema tuwakague hao TAKuKURU wanaweza onyesha uhalali wa posho wanazolipana? Acheni hizo
View: https://www.instagram.com/reel/DFz-MVxsixw/?igsh=b3E1NHY0cG95cDBv