Uchaguzi 2020 TAKUKURU mnazuia ubwabwa mnawaacha wasanii?

Kwani wafuasi wa rungwe tukiamua kumwandalia ubwabwa akawa anapiga menu huku anamwaga neno Ni kosa?
 
Shit! Kule nilipoeka Order ya Mirinda Nyeusi kwa kipindi chote cha Kampeni itabidi nikavunje Order yangu.
 
TAKUKURU acheni usanii, wale wagombea ubunge kupitia CCM mliokuwa na taarifa zao za kutoa rushwa mlisema mnalirudisha kwenye chama wamalizane wenyewe kwa wenyewe, Sasa kwa nini mnaingilia kampeni ya mzee Rungwe?

Sera ya Rungwe ni watu wale washibe!
TAKUKURU DHOOFU HALI

Jr[emoji769]
 
Sio wasanii tuu hata mgombea wa Ccm ana toa hingonza ajira,
Kamuahida Lugola ajira,
Kamuahidi Masele ajira zote hizi ni hongo. TAKUKURU hawazioni jizo wana ona ubwabwa wa Skunda..
 
Sio wasanii tuu hata mgombea wa Ccm ana toa hingonza ajira,
Kamuahida Lugola ajira,
Kamuahidi Masele ajira zote hizi ni hongo. TAKUKURU hawazioni jizo wana ona ubwabwa wa Skunda..
Kwa hili lazima wakubali kuwa wamechemsha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Takukuru watuachie mgombea wetu mzee rungwe kama wao hawataki wali basi watuachie sisi tunaotaka kula ubeche
 
Kwani wasanii ni rushwa
Hapana, wasanii siyo rushwa bali burudani waitoayo kwa makutano ndo rushwa. Vivyo hivyo kule kwa mzee Rungwe, wapishi siyo rushwa bali ubwabwa utolewao kwa makutano ndo rushwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…