Uchaguzi 2020 TAKUKURU mnazuia ubwabwa mnawaacha wasanii?

Wengine wanataka kura za hisani kwa kulazimisha kama wengine walipewa miaka 10, kwanini wao iwe 5?

Hii ndiyo Tanzania
Umegonga penyewe afu kavu kavu, bila kilainishi, ukisikia kelele jua imefika kunako.
 
Mgombea anaye toa ajira katikati ya kampeni naye katoa rushwa.
 
Labda wanapewa ugali, sio ubwabwa
Na kuuziwa sare, na posho nene!
 

 
unaongelea 2016 we hujui tushafika mwaka wa uchaguzi
View attachment 1559477
Unaongelea utafiti uliofanywa UVCCM&Associates?Twaweza walimpa ukweli umaarufu wenu umeshuka mkawafungia mpk leo,hahah.

Umeona hata taasisi yoyote reputable/international media yoyote ile iki discuss hio 'rubbish report' yenu?

Hio rubbish report inakua discussed hapo uhuru fm,channel 10,magic fm,tbc&the likes.

Hakika atashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…