TAKUKURU, Mtumishi wa Umma anaponunua kipindi kwenye radio au TV kujadili masuala ya utendaji wa Serikali ni rushwa au si rushwa?

TEAM MBOWE MNAHANGAIKA SANA!

SABAYA NI JEMBE MCHAPA KAZI CHUKI YENU NI KUDONDOKA KWA MWENYEKITI MBOWE!
Kwa kweli binadamu tunatofautiana akili,uchapakazi wa Sabaya ni upi kunyanyasa akina Mbowe ndiyo uchapakazi??Mungu atusamehe bure.
 
Sabaya ana fikiri ana jijenga kumbe ana jipaka mavi usoni.

Mh. Rais Samia sio wa kudanganywa kweye media. Maana ana mjua Sabaya kuliko yeye Sabaya anavyo jijua. Kama Sabaya uko nyumba ya serikali anza kuhamisha vyombo.
ngoja apewe U kuu wa Wilaya tena ama awe RC ndiyo utajua. Wewe subiri. Siasa za Tanzania hizi
 
Wivu na Roho mbaya haisaidii. Akitenguliwa wewe utafaidika nini?
 
Sabaya ana fikiri ana jijenga kumbe ana jipaka mavi usoni.

Mh. Rais Samia sio wa kudanganywa kweye media. Maana ana mjua Sabaya kuliko yeye Sabaya anavyo jijua. Kama Sabaya uko nyumba ya serikali anza kuhamisha vyombo.
Dah unabiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…