Tena kijijini ndio rahisi kukamatwa. Hakuna watu active kama wanakijiji, wakishamshuku mtu filimbi inapulizwa !Kwa ujinga wa kujificha Mwanza sio ajabu amekutwa hana kitu, alitakiwa akajifiche vijijini huko mfano mwabuki, Ngudu huko nk
au ma mtwara huko ndani kabisa ambako inapunguza chances za kukutana na watu wanaokufahamu.
Waonewe kwa sababu zipi? Mentality ya ajabu uko nayo. Halafu wanafikishwa Mahakamani, hivyo kama ni uonevu watathibisha huko.Pumbafu hawa badala wamkamate Ndugai kwa uhujumu uchumi anawabunge wa kubumba wanaonea watoto wa watu kwa hela kidogo ambayo hata hatuna uhakika kama ni kweli waliiba au ni uonevu. shame on them
Unaunga tu matukio? Acha siasa za namna hiyo.Ni jambo jema!
Huyu ana siri kubwa za Kakoko na alikuwa amefichwa na Kakoko ili wawatoe kafara watendaji wengine.
Ukifanya ubadhirifu na mla rushwa lazima ukamatwe tu.Ni uonevu tu wa kijinga, akina Lugola wameiba matrillion lakini wapo nje mpka leo. Pumbafu kabisa
Zabayanga Atatuambia Ilivyo KigomaWamwachie tu sasa iyo bandari inaingiza nini? Uskute aliomba tu hela ya kula elfu arobaini. Kigoma sijui naionaje. Hivi kuna lami kweli?
Wameshika kitengo gani mpaka waibe.Chadema nyie mkiiba huwa mnakimbilia wapi kujificha ??
Mpuuzi wewe watu wanaiba mabilioni ya pesa wewe una hangaika na vidagaaWaonewe kwa sababu zipi? Mentality ya ajabu uko nayo. Halafu wanafikishwa Mahakamani, hivyo kama ni uonevu watathibisha huko.
Mpuuzi wewe amewahi kukamatwa?Ukifanya ubadhirifu na mla rushwa lazima ukamatwe tu.
Lugola yupi unayemzungumzia? Kama ni yule aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge, basi yupo nchini.
Ndugai amefanya nini sasaCHADEMA kama CHADEMA na akili zenuπ³π³
Kwahiyo unahalalisha jamaa kuiba sababu ya Ndugai ππππ
Ndugai amefanya nini sasa