TAKUKURU na Uhamiaji, Mchunguzeni Jitendra Shechwat wa Kiwanda cha Pepsi(SBC LTD). Anatuhumiwa kwa Rushwa na Unyanyasaji

Mimi nilikuwa nikiuza soda za Pepsi niliacha biashara ya Pepsi baada ya madereva wanaosambaza hizo soda kunipunja idadi ya kreti kulingana na pesa niliyolipa, walipoondoka dukani kwangu walitokomea hawakusimama kwa wateja wengine, wengi walipata mkasa kama wangu.
 
R.I.P SHUJAA JPM bado wanakulilia huku
Kweli mkuu, huyu alikuwa kazi yake ni kuua sekta zote binafsi. Nikikumbuka ile kauli ya kuwa atahakikisha matajiri wanaishi kama mashetani dah najiuliza alikuwa anampango gani na watanzania, mara akaanza kuwaita wanyonge na wao wanabinuka tu
 
Yani ndivyo walivyo?
 
Aibu sana nchi hii mfariji mkuu nani mtatua kero nani mpatanishi nani hata vyama vya upinzani havibebi agenda kama hizi wapi tunaenda lini tutafika na tutafikaje?
 
Pongezi sana kwako na usichoke
 
Nini wajibu wa vyama vya wafanyakazi sehemu za kazi, serikalini hakuna wazungu, waarabu hata wachina lakini malalamiko ni yaleyale ya kutolipwa stahiki zao au kuongezewa mishahara.
Ukianza kutaja kabila la mtu ujue kunatatizo kwako.
Vyama vya wafanyakazi ni dhaifu na pia undumilakuwili wa black management unazidisha haki kutokupatikana. Wakubwa wachache wa kiafrica kwenye hizi kampuni kazi Yao huwa ku-wipe ass za wageni na kuwatetea humo ndan ya government na ndio maana wagen wanakuwa na kiburi cha hali ya juu.
 
Nimezungumzia serikalini ambako hakuna wageni ni watanzania watupu nako ni malalamiko ya kutolipwa stahiki.
 
Hujafanya kazi kwa wahindi wewe,muhindi hata uwe mfanyakazi mzuri kiasi gani,ka we black hawezi kukuekewa,mi nilishafanyaga kazi, unafanya kazi sehemu mbili bila kupenda,ka kazi ni masaa nane,ukijiroga kumaliza kazi zako mapema tu,basi atakubeba na gari na kukupeleka kwa rafiki yake ukamalizie mda,hao siyo watu kabisa
 
Sasa itakuwaje maana jamaa anasema takukuru barua hawajibu! Mbinu zote za amani walizojaribu wameshidwa...!!! Nikumpa kichapo tu maana kama wana nyanyasika nini kifanyike na wao wamnyanyase
Wamnyanyase kwa nguvu gani ya hela waliyo nayo?

Watu wanategemea watoto wao watengeneze uchochoro wa kuelekea chooni kupitia hio kazi ya SBC Tz Ltd kwa huyo huyo kanjibahi. Lazma wavumilie unyanyasaji tu ili maisha yaenda na hicho kidogo kiendelee kupatikana.

Pia kwa polisi njaa njaa hawa anaweza tuma kibaraka tu akakuweka ndani kwa sh 1 million tu ukateseka ndani kwa kosa la kubambikiwa.
 
Mimi nawakubali sana wazungu haki ya mungu tena,wazungu kwa mtu mmojammoja ni watu wazuri sana katika kulipa wafanya kazi,ila wazungu nao hawawaamini wahindi,ni bora mzungu amuanini mbongo kuliko muhindi
Serikali ingekuwa na akili ingealika wazungu wengi na kufukuza hawa washenzi wa Kihindi! Mara 10 wachina wanafanya vitu vya maana zaidi nchini kuliko hawa wahindi.

Wanatuona watanzania kama taka taka flani yani hawanaga haya kabisa wakati bongo wamekaribishwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…