TAKUKURU na Uhamiaji, Mchunguzeni Jitendra Shechwat wa Kiwanda cha Pepsi(SBC LTD). Anatuhumiwa kwa Rushwa na Unyanyasaji

Poleni sana na kuna mambo yanasikitisha sana...
 
Hat Toyota nako wamerudi wahindi wamejazana kwa Kaz ambzo watz wanaweza kufanya

Hali imerudi Kama zamani
Pale Mambo ya ndani hususan waziri wake, mkurugenzi wa uhamiaji watupe jibu. Kwa nini wanaendelea kuwapa watu wasio na vigezo vibali vya kukaa na kufanya kazi bongo ilhali watoto wao wenyewe hawana kazi?
 

40usd daily *80 containers=3200 usd *30days= (96,000 usd)
Kila mwezi anaingiza millioni mia mbili ishilini na mbili 222,000,000 Wow😿😿😿
 
Hawa chupri Chupri wapuuzi Sana, kuna kiwanda kimoja utakuta mtu mmoja ni supervisor, huyo huyo manager, huyo huyo specialist halafu yuko na certificate. Kipindi cha mwendazake walinyooka kama rular ila kwa serikali hii mpechempeche wanamalizia hasira zao kwa wazawa na hakuna wa kuwafanya lolote.
 
Kitu msichoelewa ni kwamba, SBC sio kampuni ya Wahindi. Wahindi wapo pale kama wafanyakazi ila maboss.
 
Kuna upuuzi mwingi sana SBC. Kuna wahindi wengi sana wanafanya kazi wanazotakiwa kufanya Watanzania. Auditing tunafanya pale.
Mkuu wa Production Muhindi
Mkuu wa Finance Muhindi
Mkuu wa Sales....huyu namjua jina Kavindra Sharma. Eti ni regional sales manager wakati anakaa tu ofisini wala Chalinze hajawahi kwenda. Na hiyo kazi anayofanya haikufaa mtu toka nje. Mbaya zaidi vibali vilishakwisha na anaendelea kuishi humu wanachukua pesa zetu na kupeleka kwao India.


Wahindi wengi hawana vibali ama wanafoji extension kwa kuhonga.
Eti Expatriate anafanya sales😀😀😃
 
Katika uchumi unao tukuza wewekezaji wa nje, (foreign investor) wtznia tuacheni kilalamilalamika tuanzishe kazi zetu kwa kuweka mitaji yetu pamoja.
Tunaweka mitaji, tunaanzisha kampuni ili tupate tenda ya kuwasaidia wageni. Sasa kampuni itafanya Nini kama wageni wanakuja na wageni wao?
Mgeni aje na mabilioni ya kuwekeza mfano kiwanda, atupe tenda ya kujenga siyo anakuja na mjenzi.
 
Hujawah fanya na wahind kwanza hawafuati sheria za nchi
 
Sasa itakuwaje maana jamaa anasema takukuru barua hawajibu! Mbinu zote za amani walizojaribu wameshidwa...!!! Nikumpa kichapo tu maana kama wana nyanyasika nini kifanyike na wao wamnyanyase
Ethiopia wale kabila la oromia walikua wanawapiga risasi yaan ufungue kiwanda usiwaajiri wazawa hao ma-experts wako wote watakua wanawindwa na risasi huko mtaani
 
Mapimbi nyie,nchi hii nimepita juzi kujenga ukuta kuzungusha chuo kapewa mchina

Nchi imelaaniwa hii, wanamaliza vijana wetu wanahangaika kazi
 
Watanzania ni waoga mno na wabinafsi mno, ushenzi huu hawawezi kuufanya hapo SA maana raia wake wangewapelekea moto mkali, why wafanyakazi hapo wakawaonyesha hao wahindi kuwa hii nchi ni ya kwetu, Watanzania mmezoea watu wawapiganieni wakati mmejificha kwenye vivuli vyenu, iam sorry Sina hata chembe ya huruma kwenu, amkeni amkeni na ondoeni woga, watu lazima wafe kwa ajili ya mafanikio ya next generation,elewa hao maafisa wa kitanzania wanaishi maisha bora,wanatibiwa kwenye private 🏥, au nje, watoto wao wanasoma private schools au nje, uoga wenu ndio umeyaleta haya, huyo mhindi hawezi akaleta ushenzi huo hapo Botswana 🇧🇼 atarudishwa india in a plastic bag.
 
Hivi SBC ni kampuni ya mhindi?
 
Katika uchumi unao tukuza wewekezaji wa nje, (foreign investor) wtznia tuacheni kilalamilalamika tuanzishe kazi zetu kwa kuweka mitaji yetu pamoja.
Na Watumiaji wa bidhaa waunge mkono bidhaa za nyumbani.
 
Je huyu Samson Nyirenda ambaye Yuko G4S Security ni Cash in logistics manager mbeya, ni kati Yao hao kina Nyirenda?
 
40usd daily *80 containers=3200 usd *30days= (96,000 usd)
Kila mwezi anaingiza millioni mia mbili ishilini na mbili 222,000,000 Wow😿😿😿
.
Hapewi zote. Huwa anapewa between ten and twenty percent.
Sasa ipigi kila mwezi , na Kuna miezi wanakua na container zaidi ya mia mbili.

Nisalimie George Hassan
 
.
Hapewi zote. Huwa anapewa between ten and twenty percent.
Sasa ipigi kila mwezi , na Kuna miezi wanakua na container zaidi ya mia mbili.

Nisalimie George Hassan


Hataki kutoa mgao ? Shida nini , atoe mgao mambo yake mepesi 😿😿😿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…