Atoe mgao kwa Nani? Kwa wajinga?Hataki kutoa mgao ? Shida nini , atoe mgao mambo yake mepesi ๐ฟ๐ฟ๐ฟ
SBC ni franchise na itakua mhindi ndo aliyepewa hio right na PepsiCo ya marekani kampuni mamaSo, kwa nini hao wenye kiwanda, ambao ni wabongo, wanaajiri wahindi? Tujiulize kwa nn?
Ethiopia wale kabila la oromia walikua wanawapiga risasi yaan ufungue kiwanda usiwaajiri wazawa hao ma-experts wako wote watakua wanawindwa na risasi huko mtaani
[emoji16][emoji23][emoji2][emoji23][emoji16][emoji16]Unazingua mwanangu! Mnshidwa nini kumbizia uko street mkampa vitasa? Vizia mtaani andaa wahuni wampe kichapo uvueni nguo piga picha mwambie akileta Kelele zinasambaa office yote
Mwenye kiwanda sio Mtanzania. Pili, wahindi wana kawaida ya kuitana. Ukileta Expatriate mmoja let say katika production. Basi atahakikisha kuna wenzio kila idaraSo, kwa nini hao wenye kiwanda, ambao ni wabongo, wanaajiri wahindi? Tujiulize kwa nn?
Nooo! Mwenye kiwanda ni MlebanonSBC ni franchise na itakua mhindi ndo aliyepewa hio right na PepsiCo ya marekani kampuni mama
Expatriates ndiyo tabia yao. Akija mmoja, atawaita ndugu zake.Mwenye kiwanda sio Mtanzania. Pili, wahindi wana kawaida ya kuitana. Ukileta Expatriate mmoja let say katika production. Basi atahakikisha kuna wenzio kila idara
Nafikiri hujawai kufanya kazi na hawa jamaa ama interaction yako na wao ni ndogo, kujua tatizo la wahindi na warabu ni mpaka ufanye nao kazi ama uwe karibu nao, jamaa ni wanyanyasaji sana na kichwani ni wachache wako vizuri, watu wanavolalamikia kuwa wanazingua ni kweli wanazingua,Kweli mkuu, huyu alikuwa kazi yake ni kuua sekta zote binafsi. Nikikumbuka ile kauli ya kuwa atahakikisha matajiri wanaishi kama mashetani dah najiuliza alikuwa anampango gani na watanzania, mara akaanza kuwaita wanyonge na wao wanabinuka tu
Unaweza kuwa uko sahihi mkuu, ila nimeshafanya kazi nao lakini nikiwa upande tofauti, najua kuwa wananyanyasa sana wafanyakazi wao. Hata kuna siku niliwahi mfokea mmoja kwa ujinga kama huo. Ila pia Jiwe alikuwa mwizi, dikteta na muuaji.Nafikiri hujawai kufanya kazi na hawa jamaa ama interaction yako na wao ni ndogo, kujua tatizo la wahindi na warabu ni mpaka ufanye nao kazi ama uwe karibu nao, jamaa ni wanyanyasaji sana na kichwani ni wachache wako vizuri, watu wanavolalamikia kuwa wanazingua ni kweli wanazingua,
Ukweli Magu alikuwa na speed nzuri kuwadhibiti hawa wageni, Magu aliweka sheria(Microfinance Act) kwenye kampuni ya fedha hawatakiwi kuzidi watano kwa wakati mmoja na kama wana huo uhitaji basi watapata kibali cha BOT, baada tu ya mzee kufariki, pitia uone kama sheria hii inafanya kazi
Si ubaguzi kwa watu kulalamika bali wageni ndio wabaguzi sana!!!!
Sii mhindi.SBC ni franchise na itakua mhindi ndo aliyepewa hio right na PepsiCo ya marekani kampuni mama
Takukuru?Ndani ya Kampuni inayotengeza Vinywaji baridi vya Pepsi(SBC LTD). Kumekuwa na Ubaguzi, Unyanyasaji na Uonevu wa kila aina kutoka kwa Wenzetu wa India.
Hivyo tunaomba TAKUKURU, Uhamiaji na Wizara ya Kazi ilifnayie kazi.
Wafanyakazi Walishawahi kumuandikia Barua Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa.
Jitendra Shechwat Sign ndo analalamikiwa sana sababu anajihisi kwamba ana uwezo wa kifedha wa kufanya chochote na ni rafiki Mkubwa wa Watendaji Serikali.
Jitendra alifukuzwa nchini na Serikali mwaka jana 2021 baada ya vibali vyake vya kufanya kazi/kuishi kumalizika. Lakini baada ya Kifo Magufuli, Wakabadilisha mafile kiujanjaujanja ili asionekane muda wa kibali cha kazi uliiaha, akarudi mwaka huo huo na kupata kibali kingine kilichosainiwa na Waziri mwenye dhamana(Hii ndo ichunguzwe pia).
Nawashauri TAKUKURU waanze kumhoji Alex Ngwebe Foti Nyirenda sababu ndo mwenye ukaribu na Watendaji wa Serikali. Hata hawa Wageni wakiitwa wanamtuma yeye kesi inaisha.
Bwana Jitendra kama akifanikiwa kumaliza kibali chake cha kazi kwa sasa atakuwa amefanya kazi miaka 11 katika kazi ya procurement lakini anajiita general manager Planning.
Tangu amerudi amekuwa mnyanyasasi mkubwa kwa Wazawa hasa wafanyakazi wa Kitanzania kwa kushirikiana na mhindi mwenye asili ya Tanzania aitwae Sachin.
Pia amehamisha kazi zilizokuwa zikifanywa na kampuni za wazawa na kuzipeleka kwa kampuni ya kihindi (Ralcot)
Kampuni zilizonyang'anywa kazi ni MC Juro, Isumba Maritime, PMM ICD, DICD zote za Watanzania ambazo zilikuwa zinamikataba ya kazi.
Kazi zote wamepewa ICD moja tu ya HESU investment kwa kushirikiana na Ralcot.
Swali ni;
Kwanini Wageni wapewe kazi zinazoweza kifanywa na Watanzania?
Mtaani watu hawana ajira lakini Wageni kutoka India Wamejazana Viwandani kufanya kazi ambazo Watanzania wanaweza fanya.
Mwaka jana Gazeti la The Guardian walimhoji imekuaje yupo Nchini akadai yeye si Msemaji.
View attachment 2154923
Pia hii ni Barua Wafanyakazi Waliandikia TAKUKURU ambayo haikujibiwa wala kufanyiwa kazi
View attachment 2154925View attachment 2154926
View attachment 2154929
Pia unaweza soma kwa kina wanaolalamikiwa hapa. Japo imeandikwa SIRI, hakuna Siri yoyote kwenye jambo Ovu, inatakiwa iwe wazi kila mtu aone.
View attachment 2154939View attachment 2154940
Tunaomba Vyombo vya Serikali mfanyie kazi.
Ikibidi pitisheni Sensa kwenye haya Makampuni ya Kigeni tujue wapo wangapi na wanafanya nini.
Uhamiaji fanyeni kama Mlivyofanya CI GROUP.
Soma;
1). Serikali Yaombwa Kuingilia Kati Unyanyasaji Kiwanda cha SBC Tanzania, Uongozi Wagoma Kufafanua
2). Bomu la Kampuni ya Wahindi yaanikwa
3). Wafanyakazi CI-Group walipa faini ya Sh 52 milioni