DOKEZO TAKUKURU na Usalama wa Taifa, fuatilieni haya; nchi inahujumiwa. Kuna rushwa, urasimu na ufisadi mkubwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Tanzania kwamba kuna usalama wa taifa au waganga njaa

Mtu anawaza kujenga kwao, anawaza kusomesha watoto wake na ndugu, madeni utawaza kulinda nchi?

Wakubwa ndio wanakula, nchi yetu mishahara bado sana
Ngoja nimtumie mtu hii WA TISS nimecheke
 
Very bad! Soma tena ulichoandika halafu kirejee. Kitu kisicho na busara na kibaya kabisa kwa taasisi nyeti ya nchi hii. Tuviheshimu vyombo vyetu vya dola.🙏🙏🙏

Wajitokeze kwenye Bandari
 
Kaacha Uhamiaji
 
Pascal Mayalla naokuomba kama mwigulu yupo humu um tag mama nae anasema yupo humu kama unajua ID yake mtag hapa
 
Na kusimamia mitihani ya darasa la 7 na kidato cha nne. Anakuja DSO kabisa kusaini ile bahasha kuwa haijafunguliwa[emoji2][emoji2]
Wapo humu [emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wana mikwara haooo
 
Ngoja nimtumie mtu hii WA TISS nimecheke
We lazimisha mazoea ya kishamba na ya hovyo na huyo mwamba.

Hakunaga urafiki wa raia na askari sasa jibalaguze akuoneshe true-color ndo utajua kilichomnyima kuku kukojoa 😊😊😊
 
Sio wiki brother within 24hrs unapata I'd Mimi nna ushahidi na hilii 100%
Tena Sio 500k nyingi yote hyoo...100k tu unapata kitambulisho waje wakatae
Duuh , wasio na hela wana miaka na miaka hawana hiyo ID
 
Wapo humu [emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wana mikwara haooo
Kwamba watakuonesha wao ni kina nani!!

Daah
 
Mfumo wa Tiss ni mbovu kuliko maelezo.
 
Pole sana kwa hayo, hapa nitakuja kuchangia with visuals.
P
 


"Mh. Rais wetu ni msikivu, je, ulishasikia amepewa ripoti hii akashindwa kuifanyia kazi?"

Kuanzia hapa ndo umeharibu
 
"Mh. Rais wetu ni msikivu, je, ulishasikia amepewa ripoti hii akashindwa kuifanyia kazi?"

Kuanzia hapa ndo umeharibu
Soma tena kwa utulivu utaelewa ninachokisogeza mbele ya meza ya mfalme..
 
Soma tena kwa utulivu utaelewa ninachokisogeza mbele ya meza ya mfalme..

Sio msikivu!!!!!!! Hakuna kitu asichojua, rushwa ni hatari, ukienda pale Latra Oysterday, pana mwavuli kuna wala rushwa officially wanangoja wateja.

Ukiingia ndani, kuna kijana pale anakwambia kabisa nenda hapo nje bla bla, ukigoma wanapiga simu hata kupa inspection copy wanakaza.

Hii nchi inanuka rushwa, mimi huwa sito rushwa 100%, mazila ninayokutana nayo ni hatari, anajua Mungu peke yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…