TAKUKURU nawasihi Fikeni Wilaya ya Mpwapwa Dodoma

Wanadai rushwa zinaanzia TAKUKURU
 
Sisi Tanzanai hatujawahi kuwa Serious na ISSUE ya kuzuia RUSHWA...ni POROjO TU!
 
Hakuna Wala Rushwa wakubwa kama Takukuru, dawa Yao ni kuwawekea strong opposition candidate na uchaguzi Uwe wazi. Wataacha kutoa Hela.
 
Majimbo yote 300 wanahonga pesa, wote yani, ni mfumo rasmi wa CCM, Wala sio Siri, nakuhakikishia karibu wagombea wote wanatoa Rushwa, acha Hawa wa maigizo kina dotto magari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…