TAKUKURU: Rushwa katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
TAKUKURU chini ya kifungu cha 7 cha sheria ya kuzui na kuoambana na rushwa namba 11/2007 imepewa jukumu la kuzuia na katika jamii ikiwemo rushwa katika uchaguzi ukiwemo uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020.

Makosa ya rushwa katika uchaguzi yameanishwa katika sheria ya uchaguzi Cap 343(R:E2015),Sheria ya gharama za uchaguzi namba 6/2010,aidha mamlaka ya kuchunguza makosa makosa ya rushwa katika uchaguzi na kushtaki Mahakamani kwa wanaokamatwa imepewa TAKUKURU.



 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…