GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
GENTAMYCINE nimezoea kuona Rushwa na Makondakta wa Dala Dala kwa Matrafiki.
Ila hii Rushwa ya Kitaalam inayotolewa na Vilabu Viwili Police Tanzania na KMC vinavyopambana kutokushuka Daraja haivumiliki na itaharibu Mpira wetu.
TAKUKURU nawaombeni kamateni Simu za Viongozi wote wa Vilabu vya Police Tanzania na KMC na ya Kocha ( Carataker ) wa KMC Jamhuri Kihwelo naomba msiishie tu Kuikagua bali ikiwezekana nendeni TCRA mkaombe muisikilize na nawaomba sikilizeni hasa Mazungumzo yake na Simu kuanzia Juzi hadi Leo kisha mrejee hapa Kwangu mnishukuru na mnipe Tuzo na mnijengee Mnara wangu.
Mkimaliza hili nawaombeni sasa hamieni Kulikooza kabisa kwa Rushwa Ligi ya Championship ( Daraja la Kwanza ) huko najua hakuna ambaye hamtamkamata kwa Rushwa au Klabu ambayo hainunui / haijanunua Mechi.
Kuna Goli la Mechi Moja ya NBC Premier League limefungwa leo yaani hata kama GENTAMYCINE ningekuwa na Kitambi Kikubwa cha Bunju hadi Chanika kamwe nisingefungwa lile Goli hivyo basi nikiwa kama Mchezaji Mpira wa zamani ( siyo Ligi Kuu ), Mchunguzi Huru na Mchambuzi sioni Aibu kusema kuwa Timu iliyofungwa Ilihongwa na Timu iliyoshinda Imehonga.