DOKEZO TAKUKURU, TAMISEMI mje Karagwe - Kagera, Walimu Wakuu na Maafisa Elimu (Karagwe) wanaumiza wanaopewa tenda

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kama kungekuwa na Nest hizo sijui nani asaini hazipo
Kwani NEST ni nini?

Mwisho wa siku anayekuja kukukagua na kukupa na kutokupa certificate ya ubora wa kazi ni Engineer.

Na hawa watu wana mafundi wao, usipokubaliana nao hata hiyo hutapata
 
Kwani NEST ni nini?

Mwisho wa siku anayekuja kukukagua na kukupa na kutokupa certificate ya ubora wa kazi ni Engineer.

Na hawa watu wana mafundi wao, usipokubaliana nao hata hiyo hutapata
Asante kwa elimu, nilidhani Nest imekuja kumaliza urasimu
 
Hapa ndipo mnaharibu
What is kitu fulani?
 
Asante kwa elimu, nilidhani Nest imekuja kumaliza urasimu
Nest inakutanisha waombaji tu.

Ambao ni rahisi watu kufanya kimchongo tu.

Unakuta mzabuni mmoja, anaTIN number za wenzake kama 3 au 4 anajza na kuomba tenda hiyo hiyo kwa bei tifauti tofauti, na kabrasha moja kwa bei anayotarget. Hapo wameshapangana na Engineer. Unaona kuna wazabuni 3 wameomba kumbe ni mtu yule yule
 
Unganeni kwenye harakati za kudai katiba mpya. Hao unaowapelekea malalamiko nao ni very corrupt tena kuliko hao waalim. Vinginevyo, mtaendelea kuumia.
 
Kama ndo hivyo upigaji hautakuja kuisha duniani.
 
Acha uchonganishi.Kama umekutana na changamoto wewe binafsi kuwa specific.Taja ulihudumia shule gani, ulihudumia Nini, mkataba ulisemaje? Ukigeneralize unaharibu haiba ya watu hata wasiohusika.
 
NEST yenyewe ya mchongo ipo hivi wazabuni wanaweza kuwa na majina matatu kampuni akajaza kama kampuni tofautitofauti tena bei tofauti kumbe ni mtu mmoja.yani haya mavitu nikama zamani hati msako(koteshen) watu walikuwa wanajaza kotesheni tatu kwa mtu mmoja sema jamaa anakuwa na mihuri mitatu.

Wizi na rushwa haviwezi kuisha serikalini na private sector.
 
Kama ndo hivyo upigaji hautakuja kuisha duniani.
Siyo duniani.

Ni Tanzania hii hii, upigaji umehalalishwa. Nyingine ni kelele za kinafiki tu.

Hata hao TAKUKURU unaowaita hapa, wanakula mpaka rushwa za laki moja.
Unakuta mtu mmoja anajaza quotation na mihuri mitatu.

  • Mmoja Dar es salaam
  • Mwingine Morogoro
  • Mwingine Manyara.

Kumbe ni mtu mmoja.

Akija CAG anatoa HATI SAAAFI.
 
Jaahaaa🤣🤣🤣🤣 ndio hivyo bosi wangu
 

Maana yake mlivyowapa cha juu, wakawapa na risiti??Au mna ushahidi gani mwingine kwamba wamechukua cha juu??
 
10% kwenye zabuni za serikali ni lazima
Unapopanga bei zingatia hilo
 
Hatari sana mkuu Bado tuna safari ndefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…