Uchaguzi 2020 TAKUKURU toeni ripoti ya ukweli kuhusiana na uchaguzi jimbo la Rorya

Uchaguzi 2020 TAKUKURU toeni ripoti ya ukweli kuhusiana na uchaguzi jimbo la Rorya

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Tarehe 21 Julai, 2020 kulikuwa na mchujo wa watia nia kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Rorya. Mambo hayakwenda kama ilivyotarajiwa na kulikuwa na harufu kubwa ya rushwa.

Wengi waliopata alama za juu aidha kuna mbinu iliyotumika na kuwawezesha kupata kura nyingi. Tunaiomba Takukuru Wilaya ya Rorya kutoa ripoti ya haki kwa ngazi za juu kuhusiana na vitendo vya rushwa katika uchaguzi huo.
 
Eleza kwa mapana tuwajue ni Nani hao waliotumia rushwa ili kupata kura nyingi
 
Back
Top Bottom