naskia mbao wamemstopisha erick ngwengweTakukuru wanini wakati mtumiwaji ashakubali alipewa mlungura cku ya kwanza alikula kilo 8
everyone is subjected to mistakes , timu yoyote ichunguzwe tumlipoifunga kagera goli nyingi au kiluvya fc pia na yanga ichunguzweee?
iv simba ingeshinda ile mechi je kungekua na chokochoko hizieveryone is subjected to mistakes , timu yoyote ichunguzwe tu
Povu tu, Shida mnapenda Yanga kuliko mpira wenyeweSisi wanayanga hatuna imani na tff katika kuisimamia haki tena. Hivyo tunaomba muingilie kati maana timu zinatumia raslimali nyingi kujiendesha. Mechi ya mbao ilishangaza wengi wenye akili timamu,maana vituko vilivyooneshwa na yule golikipa ni beyond reality. Tunaomba achunguzwe kwenye akaunti yake, na hata mawasiliano yake. Na mali anazomiliki kwa sasa ukilnganisha na pato lake. Vinginevyo hatuta vumilia ,nadhani nguvu ya yanga mnaijua. Na naomba viongoz muitishe kikao cha dharura ,tufanye maamuzi. Nnachojua Wambura atamponza malinzi , uchaguzi ni mwezi Wa nane
Wanaume rijali wanaomba point bila kuzitolea jashoMtoa post kama ni ME basi nikujulishe wanaume marijali huwa hatulalamiki hovyo hovyo kama wewe