Takukuru:Tunaomba mtusaidie kuichunguza mechi ya mbao na simba,

Takukuru:Tunaomba mtusaidie kuichunguza mechi ya mbao na simba,

Simba ile mechi alishinda kwa namna maana simba haina Mpira wa kumfunga Mbao bao 3 ndani ya dakika 10..! Kama angekuwa na uwezo huo angeshinda kwa toto au kagera TAKUKURU Kuna jipu limeiva hapa linahitaji kuchunguzwa na kutumbuliwa
Safi kabisa wakimaliza hilo wachunguze kufungwa 4:0 na waarabu, na kwanini baadhi ya wachezaji walichelewa ndege.
 
Simba ile mechi alishinda kwa namna maana simba haina Mpira wa kumfunga Mbao bao 3 ndani ya dakika 10..! Kama angekuwa na uwezo huo angeshinda kwa toto au kagera TAKUKURU Kuna jipu limeiva hapa linahitaji kuchunguzwa na kutumbuliwa
angalia clip ya magoli tena, utagundua kitu. Ndo maana Toto waliificha timu
 
Sisi wanayanga hatuna imani na tff katika kuisimamia haki tena. Hivyo tunaomba muingilie kati maana timu zinatumia raslimali nyingi kujiendesha. Mechi ya mbao ilishangaza wengi wenye akili timamu,maana vituko vilivyooneshwa na yule golikipa ni beyond reality. Tunaomba achunguzwe kwenye akaunti yake, na hata mawasiliano yake. Na mali anazomiliki kwa sasa ukilnganisha na pato lake. Vinginevyo hatuta vumilia ,nadhani nguvu ya yanga mnaijua. Na naomba viongoz muitishe kikao cha dharura ,tufanye maamuzi. Nnachojua Wambura atamponza malinzi , uchaguzi ni mwezi Wa nane
 

Attachments

kaka sjaelewa hii clip, naona mlangoni kunamtu kama hajiamini ,pia namuona kabulu
 
Hivi na nyinyi Yanga mchunguzwe maana kila mwaka waarabu wanawatoa kwenye mashindano,sio bure munahongwa nyie! Kipigo cha 4G kama vile kipa hakuwepo,haiwezekani.
Hata Simba wachungizwe tangu wapingwe 4G na Limbolo hawajawahi kurudi tena mashindano ya kimataifa.
 
so stupid uyo mo cjui mwee anataka kombe kwa kununua badala yakununua wachezaji wazuri yani uyu ndo anataka kuliua soka letu kabisaa sasa kwa ujinga huo soka litakua kweli. kwaiyo mikia wakinunua kombe hasira zitaisha na watampa team kuroho safi eeeh ok lets wait and see mwisho wa hela mtaenda hadi ikulu mkalalamike
 
Back
Top Bottom