Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 631
- 592
Safi kabisa wakimaliza hilo wachunguze kufungwa 4:0 na waarabu, na kwanini baadhi ya wachezaji walichelewa ndege.Simba ile mechi alishinda kwa namna maana simba haina Mpira wa kumfunga Mbao bao 3 ndani ya dakika 10..! Kama angekuwa na uwezo huo angeshinda kwa toto au kagera TAKUKURU Kuna jipu limeiva hapa linahitaji kuchunguzwa na kutumbuliwa
Jamaa anasoma PHD kweli elimu yetu sioTakukuru wanini wakati mtumiwaji ashakubali alipewa mlungura cku ya kwanza alikula kilo 8
angalia clip ya magoli tena, utagundua kitu. Ndo maana Toto waliificha timuSimba ile mechi alishinda kwa namna maana simba haina Mpira wa kumfunga Mbao bao 3 ndani ya dakika 10..! Kama angekuwa na uwezo huo angeshinda kwa toto au kagera TAKUKURU Kuna jipu limeiva hapa linahitaji kuchunguzwa na kutumbuliwa
Kama waliahidi sio mbaya ,ila washinde uwanjaniHuo ndio ukweli na kwa sababu waliahidi kwamba mwaka huu piga ua hata kwa kuliiba lazima kombe liende msimbazi
Unahamu na DUDE.Wanaume rijali wanaomba point bila kuzitolea jasho
Sisi wanayanga hatuna imani na tff katika kuisimamia haki tena. Hivyo tunaomba muingilie kati maana timu zinatumia raslimali nyingi kujiendesha. Mechi ya mbao ilishangaza wengi wenye akili timamu,maana vituko vilivyooneshwa na yule golikipa ni beyond reality. Tunaomba achunguzwe kwenye akaunti yake, na hata mawasiliano yake. Na mali anazomiliki kwa sasa ukilnganisha na pato lake. Vinginevyo hatuta vumilia ,nadhani nguvu ya yanga mnaijua. Na naomba viongoz muitishe kikao cha dharura ,tufanye maamuzi. Nnachojua Wambura atamponza malinzi , uchaguzi ni mwezi Wa nane
Hata Simba wachungizwe tangu wapingwe 4G na Limbolo hawajawahi kurudi tena mashindano ya kimataifa.Hivi na nyinyi Yanga mchunguzwe maana kila mwaka waarabu wanawatoa kwenye mashindano,sio bure munahongwa nyie! Kipigo cha 4G kama vile kipa hakuwepo,haiwezekani.