Alafu huyo mkuu why anapenda vaa vaa makombati kama yupo kwenye field vile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria ni nzuri sana ,tena huogofya wezi,kwa kua hapo zamani unakwiba na kupeta uraiani, kwa sasa no.
Watakao ichukia sheria hii ni wale wanaopanga kutuibia kodi zetu
Umesema kweli huwa wanatunga sheria kama vile wanatunga kwa ajili ya kutumika nchi nyingine ambayo wao hawahusiki. Nadhana hata hii Sheria ya Usimamizi wa Kodi ya 2015 lazima unawatafuta sana Wabunge kama wana biashara au makampuni
Mimk najiuliza tito na mwenzie wa bila hata uchunguzi kuanza waliwekwa behind bars huyu yy licha ya mazingira ya awali kuonyesha ushahidu bado anapeta mtaani
Ulevi wa madarakaWhy selective? I have had these kind of complains again from someone in a very high office in one of our Neighboring countries
Kama alivyoisha Lugumi eeh?! Twende tukafanye kazi tukatwe kodi babu, haya mengine yapo juu ya uwezo wetu
Tunataka kuona wako ndani ndio tuamini,makosa ya uhujumu uchumi hayana dhamana! Mbona wengine uchunguzi unaendelea wakiwa ndani?Iweje hawa uchunguzi uendelee wakiwa nje?
Double standard
Wanafanya kazi kwa maslahi ya dola na CCM! Ubabaishaji mtupu!Waongelee na rushwa za uchaguzi ambapo ccm wanapita bila kupingwa. Hiyo taasisi ya Takukuru ni ya wababaishaji tu.