TAKUKURU wachunguze mkataba tata kati ya Mahindra Tech na TANESCO. Huenda kuna harufu kubwa ya ufisadi

Inafanya nini cha ajabu ? Inazalisha umeme? Wape watanzania 1/20 ya hiyo hela wangekutengenezea hiyo software. Ni wizi tu, period.
Ila kujenga international airport Chato bila pesa kuidhinishwa na bunge ndio uadirifu?

Magufuli alikuwa fisadi kuliko kiumbe yeyote nchini Tanzania.
 
 
Takukuru waingie kazini. Pia inafaa kuangalia sera ya serikali kusimsmia mashirika. Je ni sawa tanesco kuingia mkataba kama huo au zipo taratibu zinahusu kuidhinishwa na wenye kumiliki shirika yaani serikali kwa niaba ya wananchi. Kuna dalili ya kuanza kuendeshwa shirika kihuni kwa matakwa ya wahuni wenye nia kulihujumu shirika kwa mara nyingine.
Kwa hivyo serikali itume takukuru kama haitoshi bunge lifuatilie ikibidi kuunda kamati.
Ukiweka mwenyekiti wa bodi mpigaji na mhuni tu hua hawajali sheria wala taratibu. Niliwahi ona hilo kwenye bodi ya Uda.
 
Cmr
 
 
TAKUKURU wanajua kuchunga vicoba tu hiyo mikataba ya kimataifa hawaiwezi.
 
Kwa nini mataga mmekomalia sana hii software? Nini kipo nyuma ya pazia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…