Wanakamata sana watendaji wa kata na vijiji waliokula buku buku za wananchiNajiuliza Hawa Hawa takukuru nilio wambia wanitumie buku tu niwatonye Alex Msama alipo siku hiyo na hawakutuma hata ilo buku, wataweza kukamata mtu live anae toa rushwa pamoja na anae POKEA?
Sidhaniiii kama wanauwezo uo Hawa watu, Hawa wanachunguza baada ya kutonywa dhidi ya tukio lililojitokeza.
Hao utawasikia kukamata watumishi wenzao, lakini large cases hawaendiNajiuliza Hawa Hawa takukuru nilio wambia wanitumie buku tu niwatonye Alex Msama alipo siku hiyo na hawakutuma hata ilo buku, wataweza kukamata mtu live anae toa rushwa pamoja na anae POKEA?
Sidhaniiii kama wanauwezo uo Hawa watu, Hawa wanachunguza baada ya kutonywa dhidi ya tukio lililojitokeza.