GE2025 TAKUKURU wanajitahidi sana kuelimisha kuhusu rushwa ila wajumbe na wananchi mnawaangusha

GE2025 TAKUKURU wanajitahidi sana kuelimisha kuhusu rushwa ila wajumbe na wananchi mnawaangusha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mangwea1900

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2025
Posts
2,484
Reaction score
3,277
Kiukweli napenda kukiri TAKUKURU wanajitahidi sana kutoa elimu ya rushwa na miongoni mwa maneno wanayorudia ni kwamba "...mwananchi ukipokea rushwa hautakuwa na haki ya kudai maendeleo..."

Cha kushangaza bado wajumbe katika vyama na wananchi wanapokea rushwa. Hii ni laana au uozo wa ubongo au badala ya ubongo kwenye kichwa kuna kitu kingine kimewekwa?

Nini sababu ya kuendelea kwa rushwa nchini Tanzania?

"UCHAGUZI UTAISHA NA JAMII ITABAKI NA AIBU"
 
Back
Top Bottom