Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani Kama imezidi maofisini!Kifupi mkuu rushwa ya ngono iko Kila mahalo sema vyuon ndo imezidi na kule inasababishwa na Mambo ya academic.
Sasa si ndio akaripoti PCCB jamani!Sio kutoa ngono nakwambia hujakutana na hzo scenario zilivo so usione wanawake wanalalamika ukafikiria ni vichaa, shukuru hujakutana na hyo kadhaa na uombe Mungu isije mkuta mwanao au ndugu
Umemaliza kila kitu mkuu.Mimi naishi jirani na chuo kimoja jina kapuni. Marafki zangu wengi ni wahadhiri na mara nyingi nakua nao kwenye ulabu.
Ni kweli kwamba kuna cases za wahadhiri kutumia ubabe kupata ngono, ila in my opinion hizo ni very rare cases. Labda ni asilimia chini ya 5 ndio wanafanya hivyo. Ila kwa hali halisi ilivyo sasa, kwa necha ya mabinti wa vyuo, mhadhiri akitaka kula mwanafunzi hahitaji kutumia nguvu yoyote. Kwanza wanafunzi ndio wanapenda sana kuliwa na malecturer! Nakumbuka wakati tunasoma wanafunzi wakike walikua wanapigana vikumbo kutoka na malecturer huku wakija kujisifu darasani na kuonyesha picha za mitoko, zawadi na meseji wanazotumiana. Kwa jinsi navyoona ma lecturer walivyo na access ya wanawake wengi wanaowasumbua, ni nadra sana kumkuta anahangaika kufosi penzi la mwanafunzi.
Wewe ukitaka kujua aina ya wanafunzi wa vyuo tulio nao sasa, nenda kwenye night clubs. Wanafunzi ndio wateja wakuu wa sehemu za starehe kiasi kwamba kipindi vyuo vikifungwa (kama sasa) club kunadorora kabisa mpaka vifunguliwe tena. Ingia instagram kwenye page zao uone picha wanazopost humo. Mabinti wa vyuo wanapenda starehe kupita maelezo na wanaliwa na kila mtu sio wahadhiri tu, wanaliwa na bodaboda, madereva teksi, wapiga picha, wauza maduka ya nguo na vipodozi, wafanyakazi wa benki, wafanyabiashara, vigogo serikalini na mpaka sisi wenyewe mtaani huku ndio tunapoponea maana hawana gharama wale mradi uwe na usafiri mkali wa kwenda kum "pick" chuo.
Hao viumbe wanatetea na mifumo hata huyo mwanafunzi walimfukuza ili kumtetea mhadhiriSasa si ndio akaripoti PCCB jamani!
Kulialia huku unaachia mzigo sijui kama kutasaidia.
Sasa si ndio akaripoti PCCB jamani!
Kulialia huku unaachia mzigo sijui kama kutasaidia.
Wanakula mishahara ya bure wengi waoAnalogia Malenga Takukuru mbona kazi yake ni kupeleleza na kushitaki baada ya kukusanya vielelezo husika? Hii inayofanya utafiti ni Takukuru ipi? Wamegeuka watafiti kumbe?