Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TAKUKURU wilayani Nzega wamezuia zoezi la ugawaji wa pikipiki na baiskeli lililokuwa likiendelea kwenye chuo cha Uuguzi, Kitongo Nzega.
Kwenye zoezi hilo, Katibu wa Mbunge wa Nzega vijijini Furaha Bazirio anahojiwa kwa tuhuma hizo za kutoa Rushwa ya pikipiki na baiskeli na kundi la wajumbe 43 toka kata ya Wela waliokuwa wamekusanyika kwenye eneo hilo wametakiwa kuondoka bila kuchukuwa zawadi.
Pia soma> Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega
Kigwangalla ananikumbusha mwaka 2010 alipopitishwa na chama chake cha CCM kugombea ubunge kwenye hilo Jimbo la Nzega huku akiwa ameshika nafasi ya 3! nyuma ya Husein Bashe (Msomali) na Mbunge aliyekuwa akitetea kiti chake (Lucas Seleli)
Porojo tu hizo, huyu ni MTUME wa YESU wa Tanzania kama alivyo MTUME Lugola!
Kwani vyama vingine hawatoi rushwaCCM Mpya na rushwa haiwezekani, Kwao ni sawa na pumzi ya oxygen wakikataa rushwa pumzi itakata.
CCM Mpya bila rushwa zote iwe baiskeli, kanga, kofia, T-Shirt, kununua wanasiasa , kuhonga vyeo kutoa fursa kwa masharti n.k ndiyo mtindo wa kisasa wa CCM Mpya.
Zuga tu hii!
Vituko kweli kweliMITUME WA YESU WA TANZANIA HAWAGUSWI
Kwa sheria waliojiwekea CCM, mbunge anayekuwa madarakani anaruhusiwa kufanya aliyoyafanya Kigwangala kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi!
Mganga wa kigwangala hovyo sana
Pole sana jana Simba kwa kubanwa mbavu na Ruvu. Hata CHADEMA unayoshabikia Oktoba mwendo ni huo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndani ya CCM yakikufika huna pa kwenda ndugu, unabakia na mkeo mnalia kwa kupokezana!!
Wanatupiga changa la macho kwakuwa wameona watu wakihoji.Zuga tu hii!
Lazima TAKUKURU waruke naye. Na ubunge anaweza kuukosa. Alipaswa akabithi hizo nyenzo kwa uongozi wa CCM taifa, na CCM ione inavyoweza kuzigawa. Alichokifanya ni rushwa pure!TAKUKURU wilayani Nzega wamezuia zoezi la ugawaji wa pikipiki na baiskeli lililokuwa likiendelea kwenye chuo cha Uuguzi, Kitongo Nzega.
Kwenye zoezi hilo, Katibu wa Mbunge wa Nzega vijijini Furaha Bazirio anahojiwa kwa tuhuma hizo za kutoa Rushwa ya pikipiki na baiskeli na kundi la wajumbe 43 toka kata ya Wela waliokuwa wamekusanyika kwenye eneo hilo wametakiwa kuondoka bila kuchukuwa zawadi.
Pia soma> Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega
Soon ataibuka tweeter 'kuwachamba' TAKUKURU.