TAKUKURU yamkamata mtumishi wake Zainabu Mohamed Jabir kwa kuomba rushwa ya Tsh milioni 50

Huwa mnawakamata ila mwisho wao haujulikani !!! Vipi hule afisa wenu wa Tanga!??? Hilton Njau mmefikia wapi!??
 
Hongera kwa Kamanda Mkuu wa TAKUKURU Pamoja na MAKAMANDA wote wa Mikoa na Wilaya kwa kudhamiria kwa dhati kupambana na RUSHWA.

Hakuna aliye Juu ya Sheria, ktk kipindi kifupi tumeshuhudia mnakamata wale ambao hawakutarajiwa kabisa....kweli sasa mmeamua.

Kamwe msiwaonee aibu wala rushwa, msitazame sura ya mtu au cheo chake. Tegeni Mitego ya kisasa mtawanasa wengi tu.

Rushwa ni adui wa Haki na pia ni adui wa maendeleo.

Tutashirikiana na TAKUKURU kuwafichua wala rushwa ili wakamatwe.
 
Kwanza huyo aliyekamatwa nimtumishi wa mkoa gani?
Sidhani kama atakua anatokea maeneo tulivu kwa rushwa kama halmashauri ya Ummy Mwalimu.
Ummy Mwenyewe ashalizwa na kikosi cha mkurugenzi Takukuru wakatulizwa
 
Tanga kunanii pale tanga πŸ˜€ Shadeeya
 
Daah hao uhadilifu ziro kabisa ,mama atadeal nao hao
 
TAKUKURU wakiamua kutega mitego yao vyema na kwa umakini watawanasa wengi sana, haswa wakongwe wa kula rushwa.
waendelee tu na utaratibu huu walio anza nao, angalu kero za rushwa zitapungua.
 
Kwanza huyo aliyekamatwa nimtumishi wa mkoa gani?
Sidhani kama atakua anatokea maeneo tulivu kwa rushwa kama halmashauri ya Ummy Mwalimu.
Ummy Mwenyewe ashalizwa na kikosi cha mkurugenzi Takukuru wakatulizwa
Anatokea manyara MKUU,
 
Wanasema Wale wanaooambana na Rushwa ndio wanakula zile Rushwa kubwa kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…