TAKUKURU yamnasa aliyekuwa Mkurugenzi wa Bohari ya Madawa nchini (MSD), Laurean Bwanakunu

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
June 2, 2020
Dar -es-Salaam, Tanzania

TAKUKURU : TAARIFA KWA UMMA

Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU Inamshikilia aliyekuwa Bosi Mkuu wa Bohari ya Madawa Nchini (MSD) kisha kutumbuliwa Bw. Laurian Bwanakunu kwa tuhuma za rushwa na kuisababishia Serikali hasara.

Pia Kaimu Mkurugenzi wa Lojistiki wa MSD, Byekwaso Tabura anashikiliwa na TAKUKURU kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia serikali hasara.

Yule mama wa Maabara Kuu ya Afya ya jamii, namshauri akimbie nchi, watambambikia kesi ya kufia jela! Maadamu wanaojua haki wanajua nini kinaendelea hapa, watampokea kama mkimbizi wa kisiasa!
 
Yule mama wa Maabara Kuu ya Afya ya jamii, namshauri akimbie nchi, watambambikia kesi ya kufia jela! Maadamu wanaojua haki wanajua nini kinaendelea hapa, watampokea kama mkimbizi wa kisiasa!
Acha kiherehere wewe
 
Wale msd kigogo wao wamepiga sana pesa za magumashi kuanzia mwenyekiti wa tenda, mkurugenzi manunuzi ,mkuu wao wote fisadiz tu, Ajira hr zimekaa kimipango na huyo bosi wao hr director kakaa sana kwenye post hiyo hadi hana jipya, wanaishi kimazoea wataacha kuiba kweli?na kupanga yake.
 
Huwezi hitimisha ubadhirifu ndani ya bohari ya madawa bila mhusisha mkuu wa wanunuzi wakuu wa madawa, ambazo ni hospitali. Hospitali zote zipo chini ya wizara ya afya.
 
Yaani watu wanaendelea kupiga hata zama hizi zinazosemekana wamedhibiti kila dili.
Na sahizi mtu akipata mpenyo anapiga kweli maana akibainika kinachofuata anakijua
 
huku walijsahau sana msd sasa round hii ni kwao
 
Yule mama wa Maabara Kuu ya Afya ya jamii, namshauri akimbie nchi, watambambikia kesi ya kufia jela! Maadamu wanaojua haki wanajua nini kinaendelea hapa, watampokea kama mkimbizi wa kisiasa!
Ataondokaje man na ndege za kwenda nje hazijaanza? Pia ukute walishampokonya paspoti the same day
 
Nitapambana Na Rushwa Bila Kigugumizi Chochote Na Dawa Ya Jipu Ni Kulitumbua
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano
 
Ataondokaje man na ndege za kwenda nje hazijaanza? Pia ukute walishampokonya paspoti the same day
anasepa kwa miguu mpaka Kenya, hao watampokea baadaye anakwenda Europe
 
Ndo maneno mliyobakiza baada ya chama chenu kukosa muelekeo. Sijui kampeni ikianza wananchi mtatuambia Nini chakueleweka. Longlive my President jpm
habari za Geita mkuu , huko ndio wanakotokea wale waabudu mtu huku nchi ikikosa ajira kwa miaka 5 na hakuna nyongeza za mishahara , kule hela ya tetemeko ikiliwa mchana kweupe !
 
Uchaguzi ukikaribia Takukuru na kawaida yao kukamata kamata ovyo. Hapa zinataftwa pesa za uchaguz kwa nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…