TAKUKURU yamnasa aliyekuwa Mkurugenzi wa Bohari ya Madawa nchini (MSD), Laurean Bwanakunu

TAKUKURU yamnasa aliyekuwa Mkurugenzi wa Bohari ya Madawa nchini (MSD), Laurean Bwanakunu

habari za Geita mkuu , huko ndio wanakotokea wale waabudu mtu huku nchi ikikosa ajira kwa miaka 5 na hakuna nyongeza za mishahara , kule hela ya tetemeko ikiliwa mchana kweupe !
Halafu unapoongea jarbu Sana kuepuka kuongelea nafsi za watu.. Kama wewe ndo huna Cha kufanya(ajira) Ni wewe Ila wenzio tuna ajira na ndo Maana hatupotezi muda kuilaumu serikali kuhusu ajira.
Kazi ya serikali nikuniletea umeme,maji, barabara na n.k halaf mimi ndo nitatengeneza ajira Kupitia hiyo miundo mbinu.

Note, Self and non self employment are all an employment.

Ushauri: ndg acha kulialia wewe Ni Mwanaume tafta ajira ulishe familia yako unazidiwa Hadi na mzibua vyoo ana ajira ake kbx.
 
June 5, 2020
Dar es Salaam, Tanzania

ALIYEKUWA MTENDAJI MKUU WA MSD BW. LAURIAN BWANAKUNU AMEFIKISHWA MAHAKAMANI KISUTU



Source : Global TV online
 
Wale msd kigogo wao wamepiga sana pesa za magumashi kuanzia mwenyekiti wa tenda, mkurugenzi manunuzi ,mkuu wao wote fisadiz tu, Ajira hr zimekaa kimipango na huyo bosi wao hr director kakaa sana kwenye post hiyo hadi hana jipya, wanaishi kimazoea wataacha kuiba kweli?na kupanga yake.
Huyo HR Director kwanza alimfanya hawara yake na wakashirikiana kunyanyasa watu pale MSD na kupiga hela kwa mikataba mibovu.
 
Back
Top Bottom