Uchaguzi 2020 TAKUKURU yamshikilia mgombea wa ubunge kupitia CHADEMA jimbo la Mtama kwa tuhuma za kutoa rushwa ili atangazwe kuwa mshindi

Uchaguzi 2020 TAKUKURU yamshikilia mgombea wa ubunge kupitia CHADEMA jimbo la Mtama kwa tuhuma za kutoa rushwa ili atangazwe kuwa mshindi

Kumbe yawezekana kweli mzee wasira walimhongea akashindwa na bulaya, kwa hili la mtama tumefumbua macho tuko chonjo sana
 
Hata uchaguzi bado,kampeni bado,anahongaje ili atangazwe kushindwa?!!

Hizi mbinu za kummaliza asigombee tena!!
Kuna uwezekano mgombea wa cdm alipanga hili jambo na NAPE
 
Dah huu ssa ndo unaitwa upofu. Yaani mtu katoa rushwa kabisa na imethibitika, lakini eti bado anatetewa. CCM ndo inayoonekana imemfanyia mchezo, basi inaonekana huko CDM watu wote ni malaika hakuna binadamu.
Mahakama gani imethibitisha mkuu? Halafu atangazwe kwani wakati anatoa rushwa alikuwa ameteuliwa na NEC tayari? CCM bwana ni kama vile hawajawahi kutawala, ni full hofu na panic. Asante Lissu kwa ujio wako na tutakupa kura tukoe magugu haya ya kijani kwenye taifa letu
 
Unaongea upumbavu halafu unajiona una akili. Waliposema watamfikisha mahakamani unahisi wanaenda kuthibitisha kitu gani?

Yaani bora hata huko CCM kuna wajinga lakini huko Chadema kuna mazuzu.
Kutoa ushahidi sio kuthibitisha wewe lumumba type, anayethibitisha ni mahakama.
 
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Lindi imemkamata na inamshikilia mgombea ubunge wa jimbo la Mtama kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA), Seleman Luwongo kwa tuhuma ya kutaka kumpa rushwa ofisa uchaguzi wa halmashauri ya Mtama...
Yote haya mwisho wake ni October 2020. Huu huonevu wa wazi kabisa lazima Watanzania kwa pamoja tuseme basi!!
 
Lah CCM mtakua lini? Yaani kila uchaguzi mnataka ganda la ndizi tu.
 
Kutoa ushahidi sio kuthibitisha wewe lumumba type, anayethibitisha ni mahakama.
Acha kukurupuka nawwe. Nilichokua namaanisha TAKUKURU waliposema wanampeleka mahakamani maana yake walikua wanakwenda kuiachia mahakama uamuzi kwa mhusika kulingana na ushahidi iliyonayo.
 
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Lindi imemkamata na inamshikilia mgombea ubunge wa jimbo la Mtama kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA), Seleman Luwongo kwa tuhuma ya kutaka kumpa rushwa ofisa uchaguzi wa halmashauri ya Mtama...
Tutaona Mengi sana mwaka huu,serikali Haina pesa ya kuendesha uchaguzi,sasa ni kucheza rafu,majimbo Mengi yapite bila kupingwa!!!
Wanaochelewa,wanaojaza form vibaya,ni upinzani tu!ccm wote wanaapatia!Wala hawatekwi!
 
Kweli CCM wameishiwa! Mgombea wa upinzani katoa Rushwa??? Upinzani wasio na serikali na wanaofanyiwa figisu mchana kucha na Chama Tawala na vyombo vyake alafu ndo atoe Rushwa????

Kweli PCCB nao ni taasisi ya CCM
 
Maccm hayachagui wa kuogopa yanaogopa mwenyekiti wa mtaa mpaka rais Lissu sijui yenyewe yana korodani ngapi
 
Takukuru wanatia kinyaaa,ni watu was hovyo,wagombea wa ccm wamewakamata na ushaidi mkononi halafu wamewaogopa,kuna jehanamu ya moto Takukurj
 
Hata uchaguzi bado,kampeni bado,anahongaje ili atangazwe kushindwa?!!

Hizi mbinu za kummaliza asigombee tena!!
Tuliposema CCM ifute vyama vyote vingine ibaki yenyewe tulikuwa na maana kubwa. Kwa tamaa yao ya madaraka na vyeo wanatengeneza sumu kubwa huku chini ambayo itaangamiza taifa na utaifa wetu.

Wapo wengi wanashangilia upuuzi mwingi ambao unaendelea pasipo kutathmini athari zitakazofuatia. Siasa zinazoendelea zitatutenganisha upendo na udugu wetu vinaelekea kuzimu sasa.
 
Back
Top Bottom