TAKUKURU yasimamisha uchunguzi dhidi ya Livingstone Lusinde ( Kibajaj) baada ya kukosa ushahidi wa rushwa

TAKUKURU eti nayo inaongozwa na meja General wa jeshi. Kama siyo uhuni ni nini? Chadema ambako walikosa ushahidi awamu ya kwanza wameanzisha uchunguzi mwingine ila kwa maccm hakunaga ushahidi hata siku moja na hawajawahi kukutwa na rushwa!
 
TAKUKURU mkoani Dodoma imesimamisha uchunguzi uliokuwa unaendelea dhidi ya aliyekuwa mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde aka Kibajaj baada ya kukosekana ushahidi wa rushwa.

Source Azam tv!
Yalikuwa ni maigizo ili waonekane wanafanya kazi bila upendeleo, Kesi ya Lugola imeishia wapi hata Lugumi?
 
TAKUKURU mkoani Dodoma imesimamisha uchunguzi uliokuwa unaendelea dhidi ya aliyekuwa mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde aka Kibajaj baada ya kukosekana ushahidi wa rushwa.

Source Azam tv!
....but kwa wabunge wa Chadema pamoja na kukosa ushahidi wa rushwa TAKOKURU (sorry I meant TAKOKURU) bado wanaendelea na uchunguzi!
 
Ni sanaa tu sio kwamba wamekosa ushahidi bali maagizo kutok ajuu
 
Isingekuwa rahisi kuendelea na uchunguzi ilhali majuzi tu tulikuwa kwenye msiba wa baba na Mkuu wa kaya katika kutoa mkono wa pole akamsifia Marehemu enzi za uhai wake lakn pía akaahidi kuyaenzi mazuri ya mzee na 'kuilinda' familia yake
 
Hao takukuru ni wahuni kama wahuni wengine. Huyo boss was takukuru huwa anavaa sare za jeshi, akidhani ndio ataogopeka, kumbe wala rushwa wanamchora tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…