MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
CCM imeoza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema je?!CCM imeoza.
Maagizo toka juu huyo ni wa CCM uongozi wa Chama hauwezi kuacha mwanachama aburuzwe Mahakamàni kwa sababu ya takrima ya kusaidia ushindi wa kishindo wa Chama kiendelee kutawala. Sauti za kuibua mchezo mchafu wa rushwa zimesikika kila Kona ya nchi lakini hakuna hata mtu mmoja aliyefikishwa Mahakamàni pamoja na TAKUKURU kujigamba imejiandaa kikamilifu kuwanasa watuhumiwa. Bila rushwa hakuna mtia nia atafanikiwa kupenye hata vikao vidogo vya chini na hata Serikali inajua hilo na kuruhusu la sivyo watashindwa uchaguzi hata Mwenyekiti akishinda hataweza kutawala na Bunge la Chama mingine. Wateuliwa wengi wanaacha kazi zao wanakimbilia kuchukua Fomu za kugombea Ubunge ili waongeze namba Bungeni na wajihakikishie ajira ya kupiga meza ya miaka 5 ya uhakika kurudisha rushwa waliotoa.View attachment 1507419
TAKUKURU mkoani Dodoma imesimamisha uchunguzi uliokuwa unaendelea dhidi ya aliyekuwa mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde aka Kibajaj baada ya kukosekana ushahidi wa rushwa.
Source Azam tv!
Livingstone Lusinde (Kibajaji) adakwa live na TAKUKURU nyumbani kwake akigawa rushwa kwa wajumbe wa CCM
ccm ni walewale, ni kiki tu hakuna cha takukuru wala nini mi naona tako-kuruView attachment 1507419