TAKUKURU yasimamisha uchunguzi dhidi ya Livingstone Lusinde ( Kibajaj) baada ya kukosa ushahidi wa rushwa

Maagizo toka juu huyo ni wa CCM uongozi wa Chama hauwezi kuacha mwanachama aburuzwe Mahakamàni kwa sababu ya takrima ya kusaidia ushindi wa kishindo wa Chama kiendelee kutawala. Sauti za kuibua mchezo mchafu wa rushwa zimesikika kila Kona ya nchi lakini hakuna hata mtu mmoja aliyefikishwa Mahakamàni pamoja na TAKUKURU kujigamba imejiandaa kikamilifu kuwanasa watuhumiwa. Bila rushwa hakuna mtia nia atafanikiwa kupenye hata vikao vidogo vya chini na hata Serikali inajua hilo na kuruhusu la sivyo watashindwa uchaguzi hata Mwenyekiti akishinda hataweza kutawala na Bunge la Chama mingine. Wateuliwa wengi wanaacha kazi zao wanakimbilia kuchukua Fomu za kugombea Ubunge ili waongeze namba Bungeni na wajihakikishie ajira ya kupiga meza ya miaka 5 ya uhakika kurudisha rushwa waliotoa.
 
Na nguo zake za jeshi akidhani ndio ataheshimika, hajui heshima inaletwa na ufanisi wa kazi anayofanya uonekane kwenye jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…